Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

yaan hawa jamaa ni wez hatar mfano huku mtwara yametokea ya kutokea
 
Hata matukio ya rushwa na udanganyifu ni taswira ya uchakachuaji ambao hutokea kwenye uchaguzi mkuu. Haya haya yatatokea tena Oktoba
 
Yaan kila aliedhinda ama amekamatwa na takukuru ama amehojiwa na takukuru..

Hata wengine waliosogezewa uchaguzi leo kwa kukutwa na kura feki sinabudi kuwapa kila la kheri...washinde maana ndio kauli mbiu yetu..jamani matokeo ya moshi vijijin kuna kijana matata tulimsikia mleta maono matokeo yanasemaje
 
Who is this Julius Rugemarilla? I don:t know him..
 
Jimbo la Rungwe kasesera kapeta Sauli kadondokea pua Pesa sio kila kitu wana CCM wamefanya yao.
 
Huku kata ya Luhundwa Simbachawene na diwani aliyeko madarakani wameiba fomu za kupigia kura kutoka kijiji cha ikuyu kupeleka vijiji wanapokubalika, hata hivyo baadhi ya matawi wanachama wamegoma kupiga kura hadi fomu 400 zilizoibwa zirudi

mkuu simbachawene kama kashinda Basi CCM aiendi bila rushwa ndio maana lowassa alikula kona rushwa inaanzia ngazi ya taifa mpaka tawi kwa mfano siku3 zilizopita amewaambia watu wa kitongoji cha msangambuya wasipomchagua Mahindi ya njaa hayaji.
 
Back
Top Bottom