Filikunjombe ni mbunge wa njombe au ludewa... Au ndio mambo ya majimbo mapya
Ludewa ila kawashika sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Filikunjombe ni mbunge wa njombe au ludewa... Au ndio mambo ya majimbo mapya
Safi hii, turudishieni jembe hili kwenye harakati za kuikomboa tanzania kimaendeleoNimepokea simu kuwa Waziri mtarajiwa wa Nishati na Madini, ndg yetu mpendwa Prof. Sospter Mhongo kashinda Musoma Vijijini (Butiama) japo sija ambiwa idadi ya kura.
Habari Njema!
Hassan Elias Masala, DC Wa Kibondo Amefanikiwa Kumdondosha Mbunge Alikawa Anatetea Nafasi Yake Ya Ubunge. Si Mwingine Bali Ni Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ndugu Mathias Chikawe.
Upepo Wa Kukataliwa Kwa Chikawe Ulianza Mara 2008, Alipoleta Sanda Za Kuzikia, Ktk Uchaguzi Wa C C M, Aliangushwa U N E C.
Mwaka 2014, Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Kijiji Chake Cha Stesheni Kimetwaliwa Na Chadema. Kata Yake Ya Stesheni Imetwaliwa Na Upinzani Kwa 80%. Tutarajie Diwani Wa Ukawa.
Viongozi Wakongwe Waache Umungu Mtu.
Nchi Hii Ni Yakwetu Sote.
Majimbo Haya Ni Yetu Sote.
Kata Hizi Ni Zetu Sote.
Watanzania Wanataka Mabadiliko!
Hongera Masala! Nachingwea Mpya Itazaliwa.
Tibaijuka na Assumpta imekula kwao
matokeo ya ubunge mosh mjini? Yamekeeje
Safi hii, turudishieni jembe hili kwenye harakati za kuikomboa tanzania kimaendeleo
Wewe huijui vizuri rufiji, malombwa kaongoza miaka mingapi??
matokeo ya ubunge mosh mjini? Yamekeeje
Matokeo rasmi majimbo ya Kagera
Bukoba Mjini:
Mshindi ni Balozi Khamis Kagasheki,
Idadi ya kura
BukobaVijijini
Mshindi ni
1:Bw.Jasson Rweikiza ,
Muleba Kaskazini
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Mshindi ni
1: Charles Mwijage [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Muleba Kusini
Mshindi ni
1😛rofesa Anna Tibaijuka,
Jimbo la Nkenge
Mshindi ni
Diodorous Kamala,
MATOKEO KURA ZA MAONI CCM UBUNGE JIMBO LA NKENGE.DR DIODORUS KAMALA 8229,FROLENT KYOMBO 5429,ASUMPTA MSHAMA 5273,JULIUS RUGEMALIRA 5201,DR MAZIMA JOHACKIM 2329 NA DR NYAGWA 671
View attachment 272969
Bukoba mjini
1.Hamisi Kagasheki 6,971
2.Amani Anatory 944
3.George Rubaiyuka 113
4.Kaijage 71
5.Joseph Mujuni Kataraia 53
6.Katabazi 34
7.Rwezaula 7
8.Lukomoka 3
Bukoba Vijijini
Jason Rweikiza kawasambaratisha Nazir Karamagi na Nelson Itagasa