Vijijini, na atashinda na kuteuliwa kuwa Waziri wa Nishati aendelee kutupelekea umeme vijijini
Kwani kajipitisha???Kapita kwa kishindo maana yake watu wake wanamkubali, NAMI namkubali sana Prof. , bibi yangu siku hizi kijijini anatumia umeme.Mpaka muda huu sijapata matokeo ya Kura za maoni juu ya mama Anna Tibaijuka ila nasikia anapumulia mashine ,mwenzake Prof muhongo amepita kwa kishindo na bila shaka atarudi bungeni please please itakuwa ni matusi kama atarudi kwa kupitia jimbo,
Atawakomesha wazee wa vitaru make sahivi kama nawaona vile wanaanza kujiharishia ..subirini kipoe kwanza msiwe na haraka ili mchezo uishe
Nan anaejua matokeo ya majimboya mikoa ya Mwanza, na Simiyu?