Duuuh! UKAWA inabidi wajipange kwelikweli maana kama mambo yenyewe ndio haya uchaguzi mkuu itakuwaje?nifah uchaguzi wa tarime umehairishwa kwasababu yamekamatwa masanduku yenye kura zaidi ya 6000 ambapo kura hizo zimewekwa alama ya tick kwa nyambari na waziri Kabaka.
Inshort kura zimepigwa kabla ya uchaguzi.
Taarifa rasmi kutoka jimbo la ukonga ni kuwa yule fisadi kijana na kigeugeu Jeri silaa ameshindwa vibaya katika kura za maoni....inasemekana amechakazwa vibaya na jamaa anaeitwa Patel...inasemakana huyu Patel amekua akisaidia sana vijana waendesha bodaboda na vikundi vya akina mama huko ukonga wakati Jeri silaa akiwa buy Ku post picha zake na viongozi wakuu huko Instagram na Facebook.....mwaka huu lazima wanyooke
Huko Nkenge naona kura zote ni kama 30,000 hivi.. Ni kwamba jimbo lote limepiga kura au mi ndio sielewi? Kama wote wamepiga kura je kuna umuhimu wa kufanya uchaguzi tena?
nifah uchaguzi wa tarime umehairishwa kwasababu yamekamatwa masanduku yenye kura zaidi ya 6000 ambapo kura hizo zimewekwa alama ya tick kwa nyambari na waziri Kabaka.
Inshort kura zimepigwa kabla ya uchaguzi.
Ndugai kapita na hiyo kashfa yake ya shambulizi.? Kweli ccm hamtupendi watu wa chini.
Mkuu mimi naona tunapoteza muda tuu wa uchaguzi. Panga pangua CCM ndio wanachukua nchi. Maana bao la mkono ni kawaida na inaonekana hamna wa kumkemea mwenzake maana kila mtu anajua ndio njia pekee wanayotumia kushinda.
Great thinkers. Hahaa with great ans...mpwa akarudishe helaya wstu huyo...Una akili sawa sawa wewe..Matiko yuko CCM? Au umezinduka toka kilabuni
Duuuh! UKAWA inabidi wajipange kwelikweli maana kama mambo yenyewe ndio haya uchaguzi mkuu itakuwaje?
Hao waliokamata hayo maboks ni akina nani?
Kibajaj ndio naniii? he he he!