Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

nifah uchaguzi wa tarime umehairishwa kwasababu yamekamatwa masanduku yenye kura zaidi ya 6000 ambapo kura hizo zimewekwa alama ya tick kwa nyambari na waziri Kabaka.
Inshort kura zimepigwa kabla ya uchaguzi.
Duuuh! UKAWA inabidi wajipange kwelikweli maana kama mambo yenyewe ndio haya uchaguzi mkuu itakuwaje?
Hao waliokamata hayo maboks ni akina nani?
 
Last edited by a moderator:
Taarifa rasmi kutoka jimbo la ukonga ni kuwa yule fisadi kijana na kigeugeu Jeri silaa ameshindwa vibaya katika kura za maoni....inasemekana amechakazwa vibaya na jamaa anaeitwa Patel...inasemakana huyu Patel amekua akisaidia sana vijana waendesha bodaboda na vikundi vya akina mama huko ukonga wakati Jeri silaa akiwa buy Ku post picha zake na viongozi wakuu huko Instagram na Facebook.....mwaka huu lazima wanyooke

Most likely jina la Patel halitarudi kutoka juu......... kuna faida pia ya "Ku post picha zake na viongozi wakuu huko Instagram na Facebook". Tuhuma za rushwa zitamuangusha Patel. Si unakumbuka 2010 Kigwangala alikuwa mshindi wa tatu kwenye kura za maoni?
 
Huko Nkenge naona kura zote ni kama 30,000 hivi.. Ni kwamba jimbo lote limepiga kura au mi ndio sielewi? Kama wote wamepiga kura je kuna umuhimu wa kufanya uchaguzi tena?

Hata mimi nashangaa, hizi numbers zinatisha
 
Kwawenyee taarifa wapendwa ya matokeo hapo juu
 
Mama Tibaijuka walimvua mpaka ujumbe wa NEC kwa sakata la escrow.. Naona karudishwa na wananchi.. Ndio mjue watanzania na wapiga kura ni watu wa aina gani
 
nifah uchaguzi wa tarime umehairishwa kwasababu yamekamatwa masanduku yenye kura zaidi ya 6000 ambapo kura hizo zimewekwa alama ya tick kwa nyambari na waziri Kabaka.
Inshort kura zimepigwa kabla ya uchaguzi.

Asante kwa ufafanuzi huo mzuri mkuu nifah natumai umeelewa vyema, nasikia pia tabata hali ilikuwa hivyohivyo ila mbaya zaidi walijikuta kura za aliyeshinda zinazidi idadi ya wapiga kura, sasa bao hilo waliiteje maana ni zaidi ya bao la mkono.
 
Mbona nimeona makada wenzake wamempongeza Jerry Slaa kwa ushindi huko kwenye facebook. Tumuamini nani?
 
Haya mabao ya mkono Edward Ngoyai Lowassa anayajua sana. Hali ikiwa hiyo, Sisi tutafunga hata kwa bao la kichwa.
 
Mkuu mimi naona tunapoteza muda tuu wa uchaguzi. Panga pangua CCM ndio wanachukua nchi. Maana bao la mkono ni kawaida na inaonekana hamna wa kumkemea mwenzake maana kila mtu anajua ndio njia pekee wanayotumia kushinda.

Well said mkuu, ila tusikate tamaa tupambane mpaka kieleweke
 
Ngoja #Le Mutuz adhibitishe maaana nimeona kampongeza instagram
 
Duuuh! UKAWA inabidi wajipange kwelikweli maana kama mambo yenyewe ndio haya uchaguzi mkuu itakuwaje?
Hao waliokamata hayo maboks ni akina nani?

Hawana jipya CCM uwizi ni ule ule. Muhimu ukawa kufanya nikutafta mawakala waaminifu. Tena kwa kiapo. Maana wakala ndio anatoa option yakuibiwa. Ila akiwa makin Hawawezi kuiba kitu kama mbinu zao za uwizi ni hizi hizi.
 
Fenera mukangara atauweza muziki wa john mnyika?
 
Back
Top Bottom