Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Duuuh! UKAWA inabidi wajipange kwelikweli maana kama mambo yenyewe ndio haya uchaguzi mkuu itakuwaje?
Hao waliokamata hayo maboks ni akina nani?

Na ccm kwa kuiba ni mabingwa kama watu hawajapiga kura lakini masanduku ya watu yaliyotikiwa aisee. Nadhani kwenye u raisi matokeo yahesabiwe vtuo hafu yatumwe wakisema yakahesabiwe na tume kwenye kusafirisha wataingizwa masanduku yaliyopigiwa kura.
Ulinzi wa kura muhimu hasa kwa Ukawa
 
Hili Jimbo Mohammed Mtoi wa CDM/Ukawa hana haja ya kupiga kampeni, asubiri kuapishwa tu.

mimi UKAWA lakini hakuna watu wa ajabu kama wasambaa lazima kampeni ipigwe tena sana tu na ikiwezekana makao makuu CHADEMA waende kusaidia pakubwa tu. unacheza na Msambaa wewe wao hawataki mageuzi ndugu
 
Si lalamiki ila naeleza ukweli kilichotokea na asiwaaminishe watu kuwa ameshinda na wanairamba wanamtaka ukweli ndio huo na hawamtaki hata kidogo ndo sababu anatumia mbinu ovu
 
Themi1 endelea kuota tu. NDOTO siyo dhambi. Lakini Chadema jimbo la Iringa Mjini muliage age kabisa maana CCM wanachukuwa kiulainiii.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ndio style gani hii ya kuripoti matokeo?

Tunaomba matokeo basi
Mlalo
Same mashariki
Same magharibi
Temeke
 
Hii nchi ingekua ina utawala wa sheria na haki kwa wananchi na wanachama wa vyama vyote, Watu hao saiz ilibid wawe gerezan

Kama kweny mpambano baina yao ndo wamefanya ivo, je mpambano dhid ya chama pinzan itakuaje?? CCM NI DUDU BAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…