Katika moja ya post zangu nilimshauri Lau Masha asiende kugombea sengerema akomae tu hukuhuku, au aje nimshauri pa kugombea lakini hakunisikiliza yeye akaamua tu kwenda sengerema wala hakuwa na maandalizi yeyote ya kupata ushindi sijui nani aliyemdanganya.
Ujanja wa kusaka pesa unao ila wa kusaka kura huna kaka njoo tukufundishe unakuwa mbishi, sasa pesa umepoteza na kura haujapata bora ukatulia kwenye biashara zako siasa huwezi mdogo wangu.
Kama vipi njoo nikuonyeshe pa kugombea hata kwa ACT unaweza ambulia kura chache lakini sidhani jipange kwa 2020 umri bado unakuruhusu.