Mtemi Amos
Member
- Jul 29, 2015
- 24
- 1
Unaposema ccm wananshida kiulaini Iringa mjini sabab zipi?,Kwanza Mwakalebela ameifanyia nn Iringa mpaka ashinde kiulaini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio ccm kama huna pesa za kuhonga hupati uongozi, moja ya sifa ya ccm ni lazima ujue kutoa rushwa au kuhonga. Maswaiba wao Takukuru wamejificha.
Umecopy na kupaste bila kujua kilichoandikwa. Pitia upya ulchoandika.FUONI, ZANZIBAR.
Mzee Yusuf ameshinda.
DIMANI, ZANZIBAR.
Abbas Mwinyi ameshinda.
UBUNGO.
Didas Masaburi ameshinda.
URAMBO.
Margert Sitta ameshinda.
MTERA.
Livingston Lusinde ameshinda.
LUDEWA.
Deo Filikunjombe ameshinda.
KONGWA.
Job Ndugai ameshinda.
ISIMANI.
William Lukuvi ameshinda.
KIBAMBA.
TUNDURU KUSINI.
Mtutura A. Mtutura chalii, kashinda Mpakate.
MULEBA KASKAZINI.
Charles Mwijage kashinda.
SUMBAWANGA MJINI.
Hillaly Aesh Amour kashinda.
SHINYANGA.
Steven Maselle kashinda.
BUSANDA.
Lolesia Bukwimba kashinda.
MASWA MASHARIKI.
Stanslaus Nyongo kashinda.
KISHAPU.
Suleiman Nchambi kashinda.
ROLYA.
Lameck Airo kashinda.
BUCHOSA.
Charles Tizeba kashinda.
NZEGA VIJIJINI.
Hamis Kigwangala kashinda.
TANGA MJINI.
Omari Nundu kashinda.
KYELA.
Mwakyembe kashinda.
MUSOMA VIJIJINI
Nimrod Mkono kashinda.
ZANZIBAR.
Naibu Waziri wa mambo ya ndani, Pereira Silima
kaangukia pua.
SENGEREMA.
William Ngeleja kamshinda Lawrence Masha.
BUKOBA MJINI.
Balozi Khamis Kagasheki kamshinda hasimu
wake mkuu, Meya Anatory Amani.
KIGOMA MJINI
Dr Aman Kabourou ameshinda.
Ismail Aden Rage, aanguka Tabora mjini.
JIMBO LA KILOLO.
Prof Peter Msolla hoi kwa Venance Mwamoto.
Adam Malima apigwa chini Mkuranga.
Prof. Sospeter Muhongo ameshinda kwa 99%
Musoma Vijijini kati ya wagombea wenzake 6!!
Nzega Mjini Bashe kashinda kwa asilimia 99%
Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99 % kura za
maoni Ubunge jimbo la Iramba
Wakuu salama
Hatimaye Sendeka aliyekuwa mbunge wa simanjiro anapumulia mashine baada ya mpinzani wako Toima kumpita mbali kwa kura nyingi,mpaka sasa Toima anaongoza kwa kumuacha sendeka mbali sna.Habari zaidi zinasema sendeka hakuamini hali iliyopelekea kuanzisha vurugu ili kuharibu matokeo,Baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwani tayari ameshapigwa kama kata kumi na moja ndipo alipoomba msaada serikalini mapaka sasa tunazungumza FFU wako kila kona,HIYO NDO HALI HALISI YA SIMANJIRO
mako mahanga haendi chadema anaenda kwa lowasa. kumbuka lowasa ni chama kinachojitegemea ndani ya chadema kama ilivyo chadema ndani ya ukawa. elewa hilo.Cdm wajihadhari wasipokee kila mtu. Huyu na Makongoro Mahanga sina imani nao
mwenye kujua matokeo ya ulangha magharibi
mako mahanga haendi chadema anaenda kwa lowasa. kumbuka lowasa ni chama kinachojitegemea ndani ya chadema kama ilivyo chadema ndani ya ukawa. elewa hilo.