Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Unaposema ccm wananshida kiulaini Iringa mjini sabab zipi?,Kwanza Mwakalebela ameifanyia nn Iringa mpaka ashinde kiulaini?.
 
mkuu acer tafadhali nijulishe matokeo ya singida mjini..
 
Last edited by a moderator:
Umecopy na kupaste bila kujua kilichoandikwa. Pitia upya ulchoandika.
 

Hatashinda tuu hiyo ni ccm
 
Na akija CDM hatumtaki maana alimkana Lowasa
 
Cdm wajihadhari wasipokee kila mtu. Huyu na Makongoro Mahanga sina imani nao
mako mahanga haendi chadema anaenda kwa lowasa. kumbuka lowasa ni chama kinachojitegemea ndani ya chadema kama ilivyo chadema ndani ya ukawa. elewa hilo.
 
Plz bado tunapata mkanganyiko wa mbunge aliyeshinda kura za maoni jimbo la mbinga mjini
 
Mbunge aliyemaliza muda wake jimboni nanyumbu Danstan Mkapa ameangukia pua, Ameshindwa na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri ajulikanaye kwa jina la Duwa.
 
Singida mjini watu wanatumia nokia za tochi??!!! Mbona matokeo hamtupi???!!
 
mako mahanga haendi chadema anaenda kwa lowasa. kumbuka lowasa ni chama kinachojitegemea ndani ya chadema kama ilivyo chadema ndani ya ukawa. elewa hilo.

Siyo kweli.....lakini mawazo yako yanaheshimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…