salma komba
Member
- Jul 28, 2015
- 14
- 5
Za kushina mdau. Mungu akubariki kwa update, niambie mdau naomba matokeo ya Babati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tibaijuka na Assumpta imekula kwao
Chambiri na Jitu wameshinda.Za kushina mdau. Mungu akubariki kwa update, niambie mdau naomba matokeo ya Babati.
Mabaki ya Lowassa chamani yameshinda. Ameshinda Chenge, Bashe, Lugola na Serukamba. Tutawaonesha
Mzee Tupatupa
Makengeza si alijiapiza kutogombea tena? Nini kimetokea?
Mzee wangu ukweli unapenya mpaka kwenye MFUPA na maumivu yake kama ya MFUPA ulioliwa na CANCER.
Wagombea wote wamepenyeza RUPIA kilichoshindikana ni ukubwa tu wa RUPIA yenyewe....Mzee wangu kwa sasa sema MIMi NI MSAFI na si SISI ni WASAFI..............
Hakuna MGOMBEA aliyegombea bila kutoa TAKRIMA.............
Mzee wangu ukweli unauma sana sana,naomba ni kwambie tu CCM bila RUSHWA haiwezekani hata kidogo....

Hakha Huyu si Rugemalila wa ESCROW jamani!!na Tibaijuka yumo jamani! Ati na Rugemalila! Ngoja tuone kama Tibaijuka na rugemalila watampitisha huko vikao vya juu! Si walimkata Lowasa kwa kigezo cha maadili???