What do you expect kama upinzani wenyewe ushaanza urafiki na watu wa aina hii, eti ushahidi mahakamani siku hizi ndio nyimbo zao huko mwanzo awakujua kabla ya kuwaita watu mafisadi ilitakiwa wawe na ushahidi wa mahakamani kwanza.
Wangekuwa wapo na Dr.Slaa sasa hivi wangekuwa wako busy wanaendelea na shughuli zao za fitna na watu kama hawa wangekuwa wanafikiriwa sana na makada wao kuwapigiwa kura, lakini CDM wameamua kusafisha njia ya mafisadi, kwenye majukwaa hawapo tena na ata wakirudi CD ya yao ya ufisadi imeshachuja ni majanga trustworthy tena aipo, ata huyo Chenge kumn'goa tena wasahau and for people like us may be we should get a life this is a lost cause CCM itaendelea kuwakombatia watu kama hawa for a long tiiiime.
Wacha wazungu waje wajichotee kwa ushauri mmbovu wa watu kama na ikiwezekana washirikiane nao Chenge huyu anaepinga hadharani TPDC kuwa mmiliki wa watanzania anataka vitalu ikiwezekana wapewe matajiri bado ana nafasi kwenye chama kinacho jinadi kinasimamia maslahi ya watu mbona kazi.