Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Huyu kwa kweli hapana aisee nimeona interview zake tofauti nadhani yeye kaingia siasani baada ya kuona wengine.yaani uwoya ni kilaza kweli kweli, sijui kama dodoma kina Nape watarudisha jina lake
CCM ikichukua nchi itabidi nihame nchi hii aibu
Huyu kwa kweli hapana aisee nimeona interview zake tofauti nadhani yeye kaingia siasani baada ya kuona wengine.
Kwamba vitu hivi mnavitegemea cdm? Come on! Hivi unafahamu akina maji marefu, Asumpta, lameck airo,..... Wapo chama gani?. Kama nawe ni miongoni mwa walio kulia ccm unaye dai kupewa nafasi, nakili kuwa chama chako hukifahamu na kwa mantiki hiyo akina uwoya watachukua nafasi yako.This are the making of a failed political party isiyo na succession planning wala naturing processes of their loyal serving cadre to grow within this political party.
Inakuwaje kuna watu wamekuwa na uvccm tangia wako mashuleni, vyuoni, wana elimu leo mtu kama haya huyu awapiku katika nafasi ya kugombea ubunge? Wakati hao waliopitia UVCCM wanakielewa chama kikanuni, misingi na ideology zaidi.
Something is not right ina maana hakuna hakina Juliana Shonza wakutosha huko ambao wanaishi kwa siasa mpaka aje mtu kama Irene Uwoya ambae clearly hana mchango wowote, kazi kupiga picha akionyesha sehemu zake za mwili na wala sidhani kama na mawazo yoyote ya kusaidia taifa zaidi kufuata marupurupu ya ubunge.
Shame on you CCM hivi vitu tunavitegemea CDM ambao bado wachanga na hata hao wasanii wao akina Sugu na Prof J are somehow political in their verses; lakini sio taasisi iliyokuwa madarakani for more than 50 years kama CCM bado kutegemea umaarufu wa wasanii wa bongo flavor sijui sanaa ya filamu kushinda kura zidi ya makada wa ndani. Shame on you
CCM ikichukua nchi itabidi nihame nchi hii aibu
Sina tatizo na raia ambae mwanachama wa chama chochote kuchukua fomu na kushinda kama katiba za vyama vyao zinavyo rushusu lakini lazima kuwe na priorities kuna watu wanaweza wasiwe makada hila kutokana na juhudi zao na misimamo yao kuhusu issue za jamii zinazojulikana locally hawa wanaweza wakaingia kwenye uchaguzi wa ndabi ya chama na kuweza kuleta ushindani mkubwa kwa makada kutokana na misimamo yao au harakari zao za kijamii na sina matatizo.Kwamba vitu hivi mnavitegemea cdm? Come on! Hivi unafahamu akina maji marefu, Asumpta, lameck airo,..... Wapo chama gani?. Kama nawe ni miongoni mwa walio kulia ccm unaye dai kupewa nafasi, nakili kuwa chama chako hukifahamu na kwa mantiki hiyo akina uwoya watachukua nafasi yako.
..........................niseme tu kuwa chama chako hukifahamu, uwoya hajachaguliwa na wana CUF bali wana ccm wenzio wa chama ''kubwa'' na siku zote hii ni practice yao ya siku zote, kwa mara nyengine tena niseme kuwa hukijui chama chako!.................................Sina tatizo na raia ambae mwanachama wa chama chochote kuchukua fomu na kushinda kama katiba za vyama vyao zinavyo rushusu lakini lazima kuwe na priorities kuna watu wanaweza wasiwe makada hila kutokana na juhudi zao na misimamo yao kuhusu issue za jamii zinazojulikana locally hawa wanaweza wakaingia kwenye uchaguzi wa ndabi ya chama na kuweza kuleta ushindani mkubwa kwa makada kutokana na misimamo yao au harakari zao za kijamii na sina matatizo
Hila mwisho wa siku chama cha siasa kama taasisi lazima kinapoingia kwenye uchaguzi inatakiwa kuwa kinatoa kipaumbele kwa makada wake iliyowalea na walioiva na ikiwezakana kufanya cherry picking fulani tunajua anao uwezo huu; sehemu fulani kumepwaya we nenda sisi tutakuback-up na wapiga kura wanajua yupi ni bora; sasa huyu Uwoya huko Tabora keshafanya hata kitu gani cha jamii kinachoweza walau kusema ni machachari au wewe unajua msimamo wa Uwoya kuhusu chochocte kinachoendelea kwenye siasa zetu na kama hakuna ni sifa gani zinamfanya huyu kuwashinda makada waliokulia ndani ya chama hii ni aibu kwa taasisi kubwa kama CCM.
Bianfsi simji vizuri Asumpta lakini maji marefu na Lameck Airo ni mashujaa huko kwao wanakoishi kwa sababu wazijuazo wakazi wa huko huyu huko Tabora ana ushujaa gani wa kuwashinda makada wakati makazi yenyewe yapo dar bila ya hata kugusia sifa zake zingine za siasa. This is unacceptable.
Naongelea mchakato wa kupata mgombea bora; wewe unadai kachaguliwa na CCM wenyewe as if nimebishia au kuna facts tofauti na hizo, issue sio kukijua au kutokijua chama bali sifa za mgombea mwenyewe tunaye mzungumzia wewe unadhani ana faida gani kwa maslahi ya chama, Tabora na siasa za Tanzania kwa ujumla even in your lewd thoughts?..........................niseme tu kuwa chama chako hukifahamu, uwoya hajachaguliwa na wana CUF bali wana ccm wenzio wa chama ''kubwa'' na siku zote hii ni practice yao ya siku zote, kwa mara nyengine tena niseme kuwa hukijui chama chako!.................................
Ndo agizo la chairman au ni lako?huyo nyangwine hafai hatumuhitaji huyo..kazi kucheka Cheka tu
Wamekatwa na wananchi sio kitengoWamekatwa au wameshindwa?
Lakini wasiwe na wasiwasi walioshinda watakatwa na walioshindwa watapewa nafasi.Duh Kigumu chama cha majambazi