This are the making of a failed political party isiyo na succession planning wala naturing processes of their loyal serving cadre to grow within this political party.
Inakuwaje kuna watu wamekuwa na uvccm tangia wako mashuleni, vyuoni, wana elimu leo mtu kama haya huyu awapiku katika nafasi ya kugombea ubunge? Wakati hao waliopitia UVCCM wanakielewa chama kikanuni, misingi na ideology zaidi.
Something is not right ina maana hakuna hakina
Juliana Shonza wakutosha huko ambao wanaishi kwa siasa mpaka aje mtu kama Irene Uwoya ambae clearly hana mchango wowote, kazi kupiga picha akionyesha sehemu zake za mwili na wala sidhani kama na mawazo yoyote ya kusaidia taifa zaidi kufuata marupurupu ya ubunge.
Shame on you CCM hivi vitu tunavitegemea CDM ambao bado wachanga na hata hao wasanii wao akina Sugu na Prof J are somehow political in their verses; lakini sio taasisi iliyokuwa madarakani for more than 50 years kama CCM bado kutegemea umaarufu wa wasanii wa bongo flavor sijui sanaa ya filamu kushinda kura zidi ya makada wa ndani. Shame on you