Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

yaani uwoya ni kilaza kweli kweli, sijui kama dodoma kina Nape watarudisha jina lake
Huyu kwa kweli hapana aisee nimeona interview zake tofauti nadhani yeye kaingia siasani baada ya kuona wengine.
 
Huyu kwa kweli hapana aisee nimeona interview zake tofauti nadhani yeye kaingia siasani baada ya kuona wengine.

Huyu hana kitu kichwani kabisaaa! Kwa kweli JK mi nitamkumbuka kwa kurahisisha kila kitu, manake ingekuwa JK anaendelea ungesikia kampa wilaya hata kama akikosa ubunge
 
This are the making of a failed political party isiyo na succession planning wala naturing processes of their loyal serving cadre to grow within this political party.

Inakuwaje kuna watu wamekuwa na uvccm tangia wako mashuleni, vyuoni, wana elimu leo mtu kama haya huyu awapiku katika nafasi ya kugombea ubunge? Wakati hao waliopitia UVCCM wanakielewa chama kikanuni, misingi na ideology zaidi.

Something is not right ina maana hakuna hakina Juliana Shonza wakutosha huko ambao wanaishi kwa siasa mpaka aje mtu kama Irene Uwoya ambae clearly hana mchango wowote, kazi kupiga picha akionyesha sehemu zake za mwili na wala sidhani kama na mawazo yoyote ya kusaidia taifa zaidi kufuata marupurupu ya ubunge.

Shame on you CCM hivi vitu tunavitegemea CDM ambao bado wachanga na hata hao wasanii wao akina Sugu na Prof J are somehow political in their verses; lakini sio taasisi iliyokuwa madarakani for more than 50 years kama CCM bado kutegemea umaarufu wa wasanii wa bongo flavor sijui sanaa ya filamu kushinda kura zidi ya makada wa ndani. Shame on you
Kwamba vitu hivi mnavitegemea cdm? Come on! Hivi unafahamu akina maji marefu, Asumpta, lameck airo,..... Wapo chama gani?. Kama nawe ni miongoni mwa walio kulia ccm unaye dai kupewa nafasi, nakili kuwa chama chako hukifahamu na kwa mantiki hiyo akina uwoya watachukua nafasi yako.
 
Sina tatizo na raia ambae mwanachama wa chama chochote kuchukua fomu na kushinda kama katiba za vyama vyao zinavyo rushusu lakini lazima kuwe na priorities kuna watu wanaweza wasiwe makada hila kutokana na juhudi zao na misimamo yao kuhusu issue za jamii zinazojulikana locally hawa wanaweza wakaingia kwenye uchaguzi wa ndabi ya chama na kuweza kuleta ushindani mkubwa kwa makada kutokana na misimamo yao au harakari zao za kijamii na sina matatizo.

Hila mwisho wa siku chama cha siasa kama taasisi lazima kinapoingia kwenye uchaguzi inatakiwa kuwa kinatoa kipaumbele kwa makada wake iliyowalea na walioiva na ikiwezakana kufanya cherry picking fulani tunajua anao uwezo huu; sehemu fulani kumepwaya we nenda sisi tutakuback-up na wapiga kura wanajua yupi ni bora; sasa huyu Uwoya huko Tabora keshafanya hata kitu gani cha jamii kinachoweza walau kusema ni machachari au wewe unajua msimamo wa Uwoya kuhusu chochocte kinachoendelea kwenye siasa zetu na kama hakuna ni sifa gani zinamfanya huyu kuwashinda makada waliokulia ndani ya chama hii ni aibu kwa taasisi kubwa kama CCM.

Bianfsi simji vizuri Asumpta lakini maji marefu na Lameck Airo ni mashujaa huko kwao wanakoishi kwa sababu wazijuazo wakazi wa huko huyu huko Tabora ana ushujaa gani wa kuwashinda makada wakati makazi yenyewe yapo dar bila ya hata kugusia sifa zake zingine za siasa. This is unacceptable.
 
Sina tatizo na raia ambae mwanachama wa chama chochote kuchukua fomu na kushinda kama katiba za vyama vyao zinavyo rushusu lakini lazima kuwe na priorities kuna watu wanaweza wasiwe makada hila kutokana na juhudi zao na misimamo yao kuhusu issue za jamii zinazojulikana locally hawa wanaweza wakaingia kwenye uchaguzi wa ndabi ya chama na kuweza kuleta ushindani mkubwa kwa makada kutokana na misimamo yao au harakari zao za kijamii na sina matatizo
Hila mwisho wa siku chama cha siasa kama taasisi lazima kinapoingia kwenye uchaguzi inatakiwa kuwa kinatoa kipaumbele kwa makada wake iliyowalea na walioiva na ikiwezakana kufanya cherry picking fulani tunajua anao uwezo huu; sehemu fulani kumepwaya we nenda sisi tutakuback-up na wapiga kura wanajua yupi ni bora; sasa huyu Uwoya huko Tabora keshafanya hata kitu gani cha jamii kinachoweza walau kusema ni machachari au wewe unajua msimamo wa Uwoya kuhusu chochocte kinachoendelea kwenye siasa zetu na kama hakuna ni sifa gani zinamfanya huyu kuwashinda makada waliokulia ndani ya chama hii ni aibu kwa taasisi kubwa kama CCM.

Bianfsi simji vizuri Asumpta lakini maji marefu na Lameck Airo ni mashujaa huko kwao wanakoishi kwa sababu wazijuazo wakazi wa huko huyu huko Tabora ana ushujaa gani wa kuwashinda makada wakati makazi yenyewe yapo dar bila ya hata kugusia sifa zake zingine za siasa. This is unacceptable.
..........................niseme tu kuwa chama chako hukifahamu, uwoya hajachaguliwa na wana CUF bali wana ccm wenzio wa chama ''kubwa'' na siku zote hii ni practice yao ya siku zote, kwa mara nyengine tena niseme kuwa hukijui chama chako!.................................
 
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, na Mbunge wa Jimbo la Tarime mkoani Nyambari Nyangwine, wamebwagwa katika kura za maoni (CCM) katika Jimbo la Tarime mjini na Tarime Vijijini katika nafasi ya Ubunge.

Mkurugenzi Msaidizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Tarime, Mathias Lugora, ametangaza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Christopher Rioba, ameibuka mshindi kwa kupata kura 15,928 akifuatiwa na John aliyepata kura 12,205.

Katika Jimbo la Tarime Mjini, Maiko Kimbaki, amembwaga Waziri wa Kazi na Ajira, (Gaudensi), kwa kupata kura elfu 3908 dhidi ya kura 2411 alizopata Waziri Kabaka.

Uchaguzi katika Jimbo la Tarime mjini na Tarime Vijijini uliahirishwa juzi kutokana na kupatikana kwa kura zilizokuwa zimewekwa alama ya tiki kwa baadhi ya majina ya wagombea kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza.

Habari njema hizi kwa mawaziri na wabunge wa awamu ya nne.
 
Hahahaha

Hawa si ndio zilikamatwa karatasi zilizokwisha pigwa kura tayari????
 
Wamekatwa au wameshindwa?

Lakini wasiwe na wasiwasi walioshinda watakatwa na walioshindwa watapewa nafasi.Duh Kigumu chama cha majambazi
 
..........................niseme tu kuwa chama chako hukifahamu, uwoya hajachaguliwa na wana CUF bali wana ccm wenzio wa chama ''kubwa'' na siku zote hii ni practice yao ya siku zote, kwa mara nyengine tena niseme kuwa hukijui chama chako!.................................
Naongelea mchakato wa kupata mgombea bora; wewe unadai kachaguliwa na CCM wenyewe as if nimebishia au kuna facts tofauti na hizo, issue sio kukijua au kutokijua chama bali sifa za mgombea mwenyewe tunaye mzungumzia wewe unadhani ana faida gani kwa maslahi ya chama, Tabora na siasa za Tanzania kwa ujumla even in your lewd thoughts?

Hoja hapa ni succession planning sahihi na utaratibu wa kuhakikisha watu wanao wa promote yaani makada wao waliowalelea wanaendelezwa vipi bila kushindwa na watu wepesi kama hawa maana ata kama kushindwa basi iwe kutoka kwa mtu mwenye challenge na ana offer kitu kushinda huyo mgombea wa chama sasa wewe unadhani huyu dada ana offer kitu gani zaidi ya wengine.

Ni hivi ushindani wa siasa ni demokrasia lakini mwisho wa siku viongozi wa chama cha siasa wanataka wakisema kushoto ni kushoto hakuna kingine ndio maana uwezi kusikia msuguano wa kisera muhimu za taifa kama kuchagua kati ya serikari mbili au tatu kutoka watu wa chama kimoja kwenye mataifa yaliyofikia 'liberal democracy' kwa kuwa makada wengi wamekulia kwenye itikadi za chama na walikuwa na muda mrefu sana wakutoka kama awaziamini.

Ifikapo wakati za uchaguzi kama huu mgombea wa chama akishindwa basi huyo mshindani wake ni kwa sababu anakubalika kweli na wapiga kura locally kutokana na misimamo yake inayowavutia; lakini aiwezekani ata siku moja mtu akurupuke tu from nowhere na kushinda unless Uwoya alikuwa anafanya kazi za undercover for long time, vinginevyo ni aibu chama kutokuwa na right internal development planing hadi makada wake waweze shindwa na washindani wa nje kama hawa.
 
Back
Top Bottom