Tabora yetu
Senior Member
- Sep 13, 2014
- 139
- 21
Kama amekanyaga ganda la ndizi kwenye sakafu yenye maji ya sabuni vilesugu atateleza tu hapo
Sasa wangemsimamisha yupi katika waliojitokeza?
Hapo CCM wamejichanganya..Sugu anasubiri kuapishwa tu! Shitambala hawezi kupambana na Sugu kabisa!
Sugu atapita ila naye aache mambo ya kula ndogo akina Faiza Ally Abdallah aka mama Sasha