Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

shitambala wary waliachwa vilema kwa ajili yake akauza jimbo huwa anashindwa hara kuitisha mkutano hapo mbeya cgadema inatisha
 
viongozi wa jf , ile ya rage mmeunganisha , hii kwanini hamjaunganisha ? mbona zote zinahusu wagombea wa ccm? sipendi kugombana na viongozi , ila kumbukeni kwamba jf inahitaji watu na watu wenyewe ndio sisi , sijaridhika .
 
Hapo CCM wamejichanganya..Sugu anasubiri kuapishwa tu! Shitambala hawezi kupambana na Sugu kabisa!
 
Hapo CCM wamejichanganya..Sugu anasubiri kuapishwa tu! Shitambala hawezi kupambana na Sugu kabisa!

Sugu atapita ila naye aache mambo ya kula ndogo akina Faiza Ally Abdallah aka mama Sasha
 
"Majimbo ya Kyerwa na Bukoba Vijijini matokeo yake hayakutangazwa, lakini Bukoba Vijijini ziliibuka vurugu, hivyo watapiga kura leo."
=========================================================================================================
Ndugu wasikilizaji na watazamaji wa Redio na Televisheni ya JamiiForums, tunajiunga na mtangazaji wetu aliyeko huko Kagera
Mathias Byabato kwa ajili kutueleza kinachojiri juu ya kura za maoni za CCM huko Kagera hususani Jimbo la Bukoba Vijijini:



TUJITEGEMEE>>> : Mathias, kunataarifa amabazo hatujazidhibitisha kuwa kulitokea vurugu hasa maeneo ya Izimbya huko Bukoba Vijijini, na
aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Nazir Karamagi alitiwa nguvuni na vijana wa TAKUKURU akituhumiwa kutoa rushwa
ya sh. milioni 25; je taarifa hizi ni za kweli? Pia inasemekana Ndugu Karamagi alikuwa analazimisha diwani mmoja maeneo ya huko
Izimbya awe mshindi lakini wana CCM wa huko wamekataa...na kufikia yeye Karamagi na Diwani wake kushindwa kwenye kura
hizo za maoni na Bwana Rweikiza; Mathias, tueleze pia juu usahihi wa taarifa hizi tafadhali.

kwa Mathias Byabato
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wa Mkuranga mkoani Pwani, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima , amesema kuwa kura za maoni zilizopigwa jimboni humo hazikuwa huru na haki kwa madai kwamba waliopiga kura walikuwa wachache lakini kura za matokeo zikawa nyingi. Amekuwa nafasi ya pili kwa kupata kura 8, 212 na mshindi wa kwanza kapata kura 16, 294

"Mchakato uligubikwa na udanganyifu mkubwa, kura haziendani na uhalisia, pia mawakala hawakutia saini baada ya kumalizwa kwa upigaji kura katika vituo vyao, lakini ninaviachia vikao vya maamuzi vifanye kazi yake," alisema Malima.

Chanzo: IPP Media
 
Kumbe Magamba bado wamo? ... Sikuhizi hata kusoma habari zao mwenzenu najionea taabu sana ... Hususan ninapokumbuka Ujangili, kushamiri kwa biashara ya sembe, Mishahara duni kwa watumishi, Mikataba mibovu, endless UFISADI, Huduma duni za kijamii; afya, elimu, miundombinu, kufa kwa mashirika ya umma, uuzwaji wa Nyumba za Serikali ,,, Yaani ... I'm done with CCM ... Hao wakatoliki wachache kama wanafaidi kupitia CCM huku ndugu zao wakiangamia na waendelee tu ... Hope si kwaajili ya Mungu Baba ..
 
Maskini hakuna tena kubeba mabegi ya mihela na masmg damu ya Pili wa moro imeshaanza kufanya kazi
 
keshakuwa "KAPI" si aende wanakoenda makapi mengine, yeye anabaki kulalamika tuuu.
 
Back
Top Bottom