Tabora yetu
Senior Member
- Sep 13, 2014
- 139
- 21
alikuwa anajinadi kupitia radio yake ya vot fm 89.0 tabora ila kaambulia pua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama amekanyaga ganda la ndizi kwenye sakafu yenye maji ya sabuni vilesugu atateleza tu hapo
Sasa wangemsimamisha yupi katika waliojitokeza?
Hapo CCM wamejichanganya..Sugu anasubiri kuapishwa tu! Shitambala hawezi kupambana na Sugu kabisa!
Sugu atapita ila naye aache mambo ya kula ndogo akina Faiza Ally Abdallah aka mama Sasha