Nadhani hata nyanya maana ilula si kata ya kilolohili ni kati ya majimbo masikini zaidi nchi hii , pamoja na kutoa kokoto zote zinazotengeneza barabara nchi hii lakini liko nyuma sana ! huyu mzee ameshindwa kwenda na kasi , apumzishwe jimbo likombolewe na UKAWA , HUYO mwamoto alipewa muda akauchezea .
ni kweli , pamoja na nyanya na vitunguu kulimwa kwa wingi hapo lakini hakuna soko la uhakika , soko pekee ni madirisha ya YU - TONG na ZONG TONG , yale mabasi ya mbeya - songea - kyela -tunduma .Nadhani hata nyanya maana ilula si kata ya kilolo
ni kweli , pamoja na nyanya na vitunguu kulimwa kwa wingi hapo lakini hakuna soko la uhakika , soko pekee ni madirisha ya YU - TONG na ZONG TONG , yale mabasi ya mbeya - songea - kyela -tunduma .
mbona huelewkiBaada ya papa profesa msola kujaribu kufunga goli la mkono uwanja wa nyumbani beki 2 mstaafu mwamoto akaamua kudaka mpira uwanjani refa akaamua mechi ianze upya na
papa profesa msola akabwagwa vikali mashabiki wamempongeza papa msola kucheza kisasa zaidi ya taaluma yake
kumzidi beki 2 mstaafu anaeng'ang'ania mchezo huku hajui amepitwa na wakati
Makeo ya uchaguzi kura za maoni jimbo la Kilolo ni kama ifuatavyo,
- V.mwamoto 11,200
- P.Msolla 10,014
- D.MBILINYI 2,674
- C.Mofuga 1,218
- T.Kikoti 1,067
- Y.Myenzi 786
- M.Luvinga 779
- A.Chusi 439
- A.Nyamoga 430
- T.Kihongosi 350
- F.Mkokwa 336
- A.Mkakatu 201
- L.Mbosa 177
- B.Mteleka 172
- I.Salufu 106