Ni baada ya kura za maoni za ubunge kuchakachiliwa na kuibiwa wana ccm watangaza rasmi kujiunga na ukawa kama cha cha mapinduzi mkoa hakita tenda haki,naomba nikufafanulie wizi wa kura zilizopigwa na zilizopotea na idadi ya wagombea,kura zilizopigwa jumla ni 23000.
Maghembe kura 10000
Tadayo kura 9000
Magaro kura 500
Mahuna kura 220
Karia kura 200
zilizoharibika kura 50 Jumla yakura zilizoharibika na zilizopigwa ni 21400. hapo kunaupungufu wa kura 1600. ziko wapi? hapo ndio wana ccm wanahoji kama chama hakitatoa majibu yanayoeleweka tukutane Octoba 25,
naomba kuwasilisha