Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Mjitokeze tu next time
Irene Uwoya ilikuwa chupuchupu..imagine that

Tatizo la ubunge wa huko aisee inakubidi umwage pesa....... ili upite kwenye maoni.

Ndio maana wakati mwingine mtu unaona bora uwekeze kwenye mambo mengine

Ila Irene bado kidogo tu aisee...tonge limepokonywa mdomoni
 
1. Halima Bulembo - 106
2. Zainab Katimba - 77
3. Juliana Masaburi - 62
4. Marium Ditopile - 62
5. Maria Kangole -57
6. Sophia Kizigo - 46
7. Jacqueline Mzindakaya - 45
Weka ya mikoa yote, pia weka na ya wapinzani wao
 
1. Halima Bulembo - 106
2. Zainab Katimba - 77
3. Juliana Masaburi - 62
4. Marium Ditopile - 62
5. Maria Kangole -57
6. Sophia Kizigo - 46
7. Jacqueline Mzindakaya - 45

wote watoto wa vigogo
masaburi
ditopile
mzindikaya
 
1. Halima Bulembo - 106
2. Zainab Katimba - 77
3. Juliana Masaburi - 62
4. Marium Ditopile - 62
5. Maria Kangole -57
6. Sophia Kizigo - 46
7. Jacqueline Mzindakaya - 45

Ukisoma haya majina ndio utagundua kuwa kweli CCM ina wenyewe!
 
Namba 2 na 4 ni wanafunzi wangu enzi hizo! Daaah wamefikaje fikaje hapo!
 
Hata namba 2 huyo bi mkubwa ake ni katibu wa kudumu serikalini sijui ofisi ipi, ila anajiamini na ana confidence za kutosha too bad the bi.....h hates on the dude commenting right now....
 
Back
Top Bottom