Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

1. Halima Bulembo - 106
2. Zainab Katimba - 77
3. Juliana Masaburi - 62
4. Marium Ditopile - 62
5. Maria Kangole -57
6. Sophia Kizigo - 46
7. Jacqueline Mzindakaya - 45
 
Ndo demokrasia ya CCM hiyo! Wanne kati ya saba baba zao ni ama walikuwa makada wa CCM. Wanarithishana tu. Masaburi baba na mtoto si ajabu (sic) wakakutana mjengoni!
 
1. Halima Bulembo - 106
2. Zainab Katimba - 77
3. Juliana Masaburi - 62
4. Marium Ditopile - 62
5. Maria Kangole -57
6. Sophia Kizigo - 46
7. Jacqueline Mzindakaya - 45

Naona watoto ya watoto wao.
 
1. Halima Bulembo - 106
2. Zainab Katimba - 77
3. Juliana Masaburi - 62
4. Marium Ditopile - 62
5. Maria Kangole -57
6. Sophia Kizigo - 46
7. Jacqueline Mzindakaya - 45

watoto wao tu?....LoL
 
Umeuliza au umetoa taarifa?

Hizi shule za mulugo ni tatizo sana, zinazalisha vilaza tu nchini.
 
Huyo Juliana Masabuli ndo jullir dolls wa Rumy show?
Cc nifah.

Duh, unajua nimejiuliza hilo swali afu nikajijibu haiwezekani.....Mweee huyu si nasikia ni punda mzoefu hadi baba ake kamshindwa? Ngoja warumi aje....
 
Last edited by a moderator:
Duh, unajua nimejiuliza hilo swali afu nikajijibu haiwezekani.....Mweee huyu si nasikia ni punda mzoefu hadi baba ake kamshindwa? Ngoja warumi aje....

Punda? mmh haya! Mwenye punda ni nani? msije niambia ni yule wa "china' !
 
Last edited by a moderator:
Duh, unajua nimejiuliza hilo swali afu nikajijibu haiwezekani.....Mweee huyu si nasikia ni punda mzoefu hadi baba ake kamshindwa? Ngoja warumi aje....

Rumy nasikia ndo biashara zake.
Bahati yao Mange hajawahi kuwa rafiki yao.Maana Mange vita yake ni zidi ya Azzan, kinje na Nsembo tu.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio ccm baba Mwenyekiti mama mjumbe Mtoto mbunge wewe kama baba yako hakuanzisha tanu utaendelea kuwaweka madarakani hao jamaa
 
Back
Top Bottom