huyu jamaa mwingo sana hakuna mgombe anaitwa sadrudin sachedina kakogembea iringa mjini ila mwakalebela kashinda kura za maoni iringa mjiniDuuu, kura za maoni tu wapiga kura walikuwa zaidi ya laki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu jamaa mwingo sana hakuna mgombe anaitwa sadrudin sachedina kakogembea iringa mjini ila mwakalebela kashinda kura za maoni iringa mjiniDuuu, kura za maoni tu wapiga kura walikuwa zaidi ya laki?
kashinda mwakalebelasadrudin sechadina kura 68,302 dr msigwa kura 42,500 mwakalebela kura 24,502 dr mahiga kura 7,303 jesca msavatangu kura 2,015 ado mwasongwe kura 1015
Naomba kujua hali zao hawa wafuatao huko Majimboni kwao kama Wamepita???
Juma Nkamia
Asumpta Mshana
Anna Tibaijuka
Idd Azzan
Job Ndugai
Lusinde Kibajaji
nasikia tabora ni jimbo pekee ambalo halijawahi kuongozwa na mbunge mmoja miaka 10 mfululizo...
Anaweza kutunukiwa zile wanazopewa wana-UWT.Ndo hivyo ila inauma maana uwaziri atausikia katika radio tu
Wakuu vip kwa Kongwa kwa dr. wangu Chiongani aliyetaka kutolewa roho naNAIBU SPIKA? "Samahani wakuu, ndugai kangu mimi sio MUHISHIMIWA"
Ccm ishakufa imebakia na kivuli chake tbc
nasikia tabora ni jimbo pekee ambalo halijawahi kuongozwa na mbunge mmoja miaka 10 mfululizo...