Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Duuu, kura za maoni tu wapiga kura walikuwa zaidi ya laki?
huyu jamaa mwingo sana hakuna mgombe anaitwa sadrudin sachedina kakogembea iringa mjini ila mwakalebela kashinda kura za maoni iringa mjini
 
Nyuzi zingine hizi upuuzi mtupu. Ulitakaje? Asigombee? Apate kura zote? Kama hata misingi ya democracy hujui unafanya nini jukwaa hili?
 
Mbinga mjini vp? sixtus mapunda vs Mbunda
mbinga vijijini Kayombo vs msuha? matokeo wakuu.
 
Jamaan Ukonga vipi? Mwenye matokeo sahihi anijuze, mods unganishen haya matokeo basi yaeleweke
 
Mwenye matokeo majimbo ya kahama na msalala!
 
Amini usiamini mtu huyu karuhusiwa kupiga kura. 1438459590302.jpg
 
Jimbo la singida Kaskazini nyalandu kashinda: Katika kata ya Ilongero. Nyalandu 667, Mpombo 88, Monko 608/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Maghojoa: Nyalandu 743, Monko 72, Mpombo 26, Aron 16, Mungwe 15
8/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Mrama: Nyalandu 744, Monko 125, Mpombo 138, Sabasaba 50, Mungwe 19
8/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Mughamo. Nyalandu 156, Monko 712, Sabasaba 40, Mungwe 23, Mpombo 16
8/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Mwasauya: Nyalandu 1360, Monko 146, Mpombo 65
8/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Ikhanoda: Nyalandu 1146, Monko 158, Mpombo 158, Mungwe 108, Sabasaba 34
 
Naomba Matokeo ya Vita Kawawa mwenye taarifa zake.Songea
 
Back
Top Bottom