Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Matokeo Mkoa wa MBEYA
Rungwe. Kasesela
Kyela. MWAKYEMBE
Busokelo. MWAKIBETE
MBEYA DC. Nyenza
MBEYA Jiji. Kajuni
Mbozi. Zambi
CHUNYA Lupa. Mwambalaswa
Chunya SONGWE. Mlugo

Vwawa, Momba, Tunduma...

Majimbo hayo hujapata matokeo mkuu?
 
Ingekuwa sugu habari ya Mbeya mjini asingeshindwa serikali za mitaa jamani siasa za kichangudoa tuziepuke tujaribu kuja na fact
 
Bukubo inazidi kudidimia kwa sababu ya kukumbatia CCM..Mkoa umechakaa kama chuma tambara la deki...achanane ni CCM muone...Angalia Iringa, Arusha, Mbeya, Kigoma, Kilimanjaro..na kwingine wanashine kwa maendeleo kwa sababu waliikataa CCM mapema, nashangaa jamaa zangu akina Nshomile hamzinduki....
 
manyoni magharibi bado mambo ni magum jana mgombea wa ubunge kwa ccm alillal rockup kwa kukutwa akitoa rushwa na had sas matikeo bado
 
FUONI, ZANZIBAR.
Mzee Yusuf ameshinda.
DIMANI, ZANZIBAR.
Abbas Mwinyi ameshinda.
UBUNGO.
Didas Masaburi ameshinda.
URAMBO.
Margert Sitta ameshinda.
MTERA.
Livingston Lusinde ameshinda.
LUDEWA.
Deo Filikunjombe ameshinda.
KONGWA.
Job Ndugai ameshinda.
ISIMANI.
William Lukuvi ameshinda.
KIBAMBA.
TUNDURU KUSINI.
Mtutura A. Mtutura chalii, kashinda Mpakate.
MULEBA KASKAZINI.
Charles Mwijage kashinda.
SUMBAWANGA MJINI.
Hillaly Aesh Amour kashinda.
SHINYANGA.
Steven Maselle kashinda.
BUSANDA.
Lolesia Bukwimba kashinda.
MASWA MASHARIKI.
Stanslaus Nyongo kashinda.
KISHAPU.
Suleiman Nchambi kashinda.
ROLYA.
Lameck Airo kashinda.
BUCHOSA.
Charles Tizeba kashinda.
NZEGA VIJIJINI.
Hamis Kigwangala kashinda.
TANGA MJINI.
Omari Nundu kashinda.
KYELA.
Mwakyembe kashinda.
MUSOMA VIJIJINI
Nimrod Mkono kashinda.
ZANZIBAR.
Naibu Waziri wa mambo ya ndani, Pereira Silima
kaangukia pua.
SENGEREMA.
William Ngeleja kamshinda Lawrence Masha.
BUKOBA MJINI.
Balozi Khamis Kagasheki kamshinda hasimu
wake mkuu, Meya Anatory Amani.
KIGOMA MJINI
Dr Aman Kabourou ameshinda.
Ismail Aden Rage, aanguka Tabora mjini.
JIMBO LA KILOLO.
Prof Peter Msolla hoi kwa Venance Mwamoto.
Adam Malima apigwa chini Mkuranga.
Prof. Sospeter Muhongo ameshinda kwa 99%
Musoma Vijijini kati ya wagombea wenzake 6!!
Nzega Mjini Bashe kashinda kwa asilimia 99%
Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99 % kura za
maoni Ubunge jimbo la Iramba
 
vwawa lipo jembe kutoka chadema FANUEL MKISI yupo vizuri na kipenzi cha wanavwawa.
 
kabwagwa na nani ?au ulega
Wana jf, yule nguli wa maneno ya kejeri bungeni na kwa vyombo vya habari hatimaye amebwagwa chali katika matokeo ya awali jimbo la mkurunga. Hii imethitishwa katika matokeo ya awali katika kata mbili amvazo zimesjatoa matokeo.

Aidha mke wake na wapambe walionekana wKihaha huko na huku kuwaadaa idara ys wazai na wanawake lakini hata hivyo kachemsha.

Mh. Malima analalamikiwa na wananchi kwakushindwa kuwaboreshea miundo mbinu kama vile barabara.

Pia huduma xa jamii kama vile shule,afya umeme na maji. Kwaniaba ya wapenda maendeleo, nachukua fursa hii kuwashukuru wanamkurunga kwa maamuzi magumu.

MKURANGA BILA MALIMA INAWEZEKANA
 
Naskia anagawa unga saana,kura hapati mpaka arudisha kiwanja cha railway
 
Back
Top Bottom