Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee yashakuwa ayo tena..comedown,ya kaisari mwachie kaisari..
mimi najitambua sijaiva. Hapa sio suala la fursa! Sio kila fursa inamfaa kila mtu. Usikurupuke tu!Kama kaona fursa kwanini asichangamkie! we unaejua kupangua hoja kwanin usingeenda kuchukua hyo nafasi yake?
Unaona taarabu hizo ulizoandika hapo juu, mtoto mchelemchele.
aisee CCM wanafanya mchezo na Nchi Hii.yaani ubunge sasa umekuwa kama VICOBA, Hii ni Aibu kwa Taifa. Hv wanavyovita viti maalum wanamuwakilisha nani na mapesa wanayopata ilhali mahospitalini hakuna dawa. Kweli Katiba hii Haitufai.Mwigizaji Irene Uwoya ameashinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum (vijana) huko Tabora kwa kupata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34. Ubunge wanukia kwa Irene, heko kwake.
Sipati picha hawa wakina bongo movie wote ndio wangeingia bungeni, eti Steve Nyerere naye anataka awe mbunge.
Maadili yanafatiliwa Upinzani tu CCM hiyo haipo,we subiri kuona maigizo na mipasho bungeniSasa na zile picha za bikini kwenye internet, kweli jamani?
Hakuna kipengele cha maadili hapo.
Duh! Kweli ccm kuna hazina ya viongozi.
ila huyu demu mzuri sana