Mtoka Mbali
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 237
- 26
Hivi huyu ndiye naniii? Aliye na picha zake aziweke tumuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu ndiye naniii? Aliye na picha zake aziweke tumuone
Dah Tanzania mwaka huu maajabu hayaishi
Nimewaona wote humu wapumba....kabsa mtu hata hata ajawa mbunge wa viti maalum rasmi af mnaanza kumponda hvyo na wakat bado ana safar kubwa sanaaaa,,watanzania bana mtu akshavuka hatua moja mnaanza kuponda hata kabla hajapita hatua ya pili nyie mafal..... kweli yan
Hawa ccm hawako serious na ishue serious za taifa, tuwache utani hivi uwoya atafanya nini bungeni
Mbona unalia lia au wew ndie Mrs khalid ndikumana kataut
Tafakari maisha yako kama mambo ya siasa huyawezi...
Mkuu mambo ya siasa yanagusa maisha ya kila mmoja wetu, uwe kwenye siasa au usiwepo, mambo ya bungeni ndo yanaongoza nchi
Duh! Kweli ccm kuna hazina ya viongozi.
Mbona hukuhama aliposhinda sugu?CCM ikichukua nchi itabidi nihame nchi hii aibu
Uwoya kusema ukweli ni mweupe bungeni kuna Ku changia hoja kusoma miswada sidhani kama alimaliza form fourHawa ccm hawako serious na ishue serious za taifa, tuwache utani hivi uwoya atafanya nini bungeni
nawawekea picha za hatari
Uwoya kusema ukweli ni mweupe bungeni kuna Ku changia hoja kusoma miswada sidhani kama alimaliza form four
Mambo ya siasa yana mambo mengi sanaaa mkuu ndo maana watu wanasomea siasa,,na ndo maana mie huwa sipendi sanaaa kujaji chama flan sijui kmefanya hv hv no sifanyagi hvyo aisee kila vyama huwa vnamakosa yake makubwa tu...
Mwigizaji Irene Uwoya ameashinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum (vijana) huko Tabora kwa kupata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34. Ubunge wanukia kwa Irene, heko kwake.