Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Wimbo wa Tanzania ndio unapigwa sasa...

Tanzania imevaa jezi mpya za bluu kuanzia juu hadi chini...
 
Dah!! tulikuwa tushapigwa hapa ila ni offside...
 
Misri wanatushambulia sana aisee...

Hii timu yetu hii mmmh!!!
 
Yani hapa kuna hatari ya kupigwa nyingi, timu haijatulia kabisa
 
Channel gan mnaulizwa?

Mkuu hakuna TV ya Tanzania inayoonesha...

Kama una dekoda ya Bein basi tune to Bein 10HD...

Otherwise fanya streaming links zile juu kule nimeweka...
 
Dk 10

Misri 0 - 0 Tanz
 
Munishi yupo chini kaumia lakini anatibiwa...

Sasa yupo sawa...
 
Back
Top Bottom