Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
sasa huyu jamali malinzi kwanini asijiuzulu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mechi hii itaonyeshwa vituo gani vya TV??
Kwa tabia hii ya timu ya Taifa inacheza nje huku tv zote watanzania hatuna uhakika Wa kurushiwa mechi safari yetu bado ni ndefu sana kwasababu katika hari ya kawaida mpaka sahivi hata kabla hatujaangaika kuuliza tulitakiwa kuwa tushaambiwa ni kituo gani kinarusha ila mpaka sahivi hamna, watanzania uzalendo umeisha kabisa
duu sijui staz wamekula maharage ya wapi?
chanel gani wanaonesha? Mana nimeangalia super sport sioni kitu.
Dah!! tulikuwa tushapigwa hapa ila ni offside...
Channel gan mnaulizwa?
Yani hapa kuna hatari ya kupigwa nyingi, timu haijatulia kabisa
Dkk zote jamaa wapo golini kwetu tu