Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

nawatakia kilala kheri misri funga Taifa stars 6~0
 
TBC mnangoja kuonesha misiba tu hata timu yetu ya taifa mnapata kinyaa cha kuionesha kweli?
 
Hivi mechi hii itaonyeshwa vituo gani vya TV??

unataka uangalie jinsi tunavyofungwa mkuu? mimi naona ni bora hatuonyeshwi kwani kwa upoyoyo wa timu yetu tungepandishana tu presha bure halafu tufe! utampangaje mkude acheze kiungo ya pembeni na kumwacha erasto nyoni akicheza kama holding midfielder? labda wao kwa wao wawe wajanja wafanye switching na nadhani mkude is more comfortable akicheza mbele ya beki 4 na 5 na nyoni ni mzuri sana kulia na amekuwa effective sana akiwa anachezeshwa upande huo. wachezaji wetu na wao wanatakiwa mambo mengine waamue wao kwa wao wakiwa in the field of play na si kila wakati kumsikiliza ( chuck norris ) kocha wetu mart noij.
 
Viungo wa Tanzania Kiemba, Kazimoto na Mkude ni kama hawapo...

Hadi sasa sijamuona Samatta wala Ulimwengu wamegusa mpira...
 
Dk 20

Misri 0 - 0 Tanz
 

tivii zote sasa zinachanja mbuga na watangaza nia hivyo mtatusamehe sana na tuvumiliane tu watanzania wenzangu. siasa kwanza!
 
duu sijui staz wamekula maharage ya wapi?

Yani we acha tu, yani hawajaweza hata complete five passes!! Halafu kocha ndio huyo katulia tu kama tunaongoza already!!
 
Hadi sasa Dida ndiye anayetutoa...
 
Dida anaumia tena baada ya kuangukiwa na mchezaji wa Misri...

Inaonekana kaumizwa bega na sasa anagangwa...
 
Mkude hafanyagi kitu stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…