Kiemba ni dogo? Mbona ana 34 plus! Halafu Henry Morris ameitwa lini Stars? Nijuavyo hajasikika katika soka miaka zaidi ya 6 iliyopita, na kama bado yupo kwenye soka, basi atakuwa ni kocha! Au unaangalia mechi ambayo ni recorded iliyochezwa miaka ya nyuma huko?Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombeKiemba
Nadhani ni Agrey morisiDuh!!
Mkuu Henry Morris ni mchezaji wa zamani sana huyo alikuwa anakipiga Prisons nafikiri akasajiliwa Yanga baadaye...
Ni wale wachezaji wa mwanzo kabisa kuonekana na Prisons ligi kuu...
Sasa hivi atakuwa hachezi tena mpira huyu...
Tupe line up mkuuDk 50
Misri 0 - 0 Tanz
Duh!!