Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kiemba ni dogo? Mbona ana 34 plus! Halafu Henry Morris ameitwa lini Stars? Nijuavyo hajasikika katika soka miaka zaidi ya 6 iliyopita, na kama bado yupo kwenye soka, basi atakuwa ni kocha! Au unaangalia mechi ambayo ni recorded iliyochezwa miaka ya nyuma huko?Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombeKiemba