Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombe
Kiemba ni dogo? Mbona ana 34 plus! Halafu Henry Morris ameitwa lini Stars? Nijuavyo hajasikika katika soka miaka zaidi ya 6 iliyopita, na kama bado yupo kwenye soka, basi atakuwa ni kocha! Au unaangalia mechi ambayo ni recorded iliyochezwa miaka ya nyuma huko?
 
Duh!!

Mkuu Henry Morris ni mchezaji wa zamani sana huyo alikuwa anakipiga Prisons nafikiri akasajiliwa Yanga baadaye...

Ni wale wachezaji wa mwanzo kabisa kuonekana na Prisons ligi kuu...

Sasa hivi atakuwa hachezi tena mpira huyu...
Nadhani ni Agrey morisi
 
Kiemba huyo

Nashangaaga kule azam wanambaniaga sana, sijui kwanini wakati anaonekana ana kiwango kizuri tu akiwa regular player
cc Watu8

Washangae SIMBA waliomtoa mkopo kwenda Azam Fc
 
Last edited by a moderator:
Duh!!

Mkuu Henry Morris ni mchezaji wa zamani sana huyo alikuwa anakipiga Prisons nafikiri akasajiliwa Yanga baadaye...

Ni wale wachezaji wa mwanzo kabisa kuonekana na Prisons ligi kuu...

Sasa hivi atakuwa hachezi tena mpira huyu...

Henry Morris msimu uliopita alikuwa Mtibwa,akitokea Simba ambapo alichezea baada Ya kutoka Kovinger Ya Norway. Na before alikuwa Simba. Aliechezea Prison ni Oswald Morris! Henryhajawi kuchezea Prison
 
Dk 60

Goalll

Misri wanatupiga hapa

Dida kautokea mpira wa kona alioshindwa kuupangua...

Mchezaji wa Misri anajitwisha kichwa na kutupia nyavuni
 
Tumepigwa counter attack...

Misri wanatupia la 2
 
Back
Top Bottom