Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Makamanda leo Dr slaa anafanya mkutano wa baraza la wazi hapa Dodoma.Nitajitahidi kuwajuza kinachoendelea moods naomba mtaniwekea vizuri.
 
Watu wanaendelea kumiminika katika uwanja huu.
 
Naona red brigade wapo imara.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376916713251.jpg
    uploadfromtaptalk1376916713251.jpg
    76.5 KB · Views: 1,011
Kamanda tupia na picha,nimekuona umepiga shati yako ya kaki na jeans,safi sana tupe vitu
 
Watu wakiendelea kutoa maoni kwa maandishi.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376917362621.jpg
    uploadfromtaptalk1376917362621.jpg
    65.3 KB · Views: 2,251
Watu hawana muda na porojo za Dr. Slaa za siasa za kilaghai. Watu wako busy na shughuli zao za kujitafutia kipato halali...
 
Makamanda leo Dr slaa anafanya mkutano wa baraza la wazi hapa Dodoma.Nitajitahidi kuwajuza kinachoendelea moods naomba mtaniwekea vizuri.

naona CHADEMA wamejipanga wanazunguka nchi nzima kumwaga sumu ya kuichukia CCM
 
Back
Top Bottom