Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

Waitara
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376919754735.jpg
    uploadfromtaptalk1376919754735.jpg
    95.6 KB · Views: 234
Waitara jukwaani.huu ni mktano wa 34 wa dr.slaa
 
naona CHADEMA wamejipanga wanazunguka nchi nzima kumwaga sumu ya kuichukia CCM

Sumu yakuchukiwa CCM imesambaza yenye kwa kutoa ahadi ambazo hawajazitekeleza za maisha bora kwa kila Mtanzania.
Labda kama Watanzania ni vipofu......
 
tunajua ya kwamba wanaokatisha tamaa wengine; ni wale ambao mfumo uliopo unawanufaisha! na hofu ni pale dalili za anguko lao zinapoanza kuwa dhahiri na anayefuatia akaanza kuonekana!
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
 
Naona red brigade wapo imara.

Naomba kuuliza tu hao waliopamba hilo jukwaa hiyo rangi ya kijani imetoka wapi? kwani halipo katika bendera yetu ya taifa. Inabidi ofisi ya kanda iwajibike wasituletee mambo ya bendera za mafisadi
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?

Kila chama kina mamlaka ya kukusanya maoni kwa wanachama wake, sema maCCM menzio hayana akili hizi na tatizo pale hakuna wataalamu wa mipango na uendeshaji wa chama, wapo MAKADA tuuu elimu zero, sifa kuu ameimba sanaaaaaaaaaaa nyimbo za komba kwa muda

Ngoja utaona feedback ya haya yanayofanywa na chadema sasa.
 
Back
Top Bottom