Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume utapakatwa labda baba yako ndio hana shida wengine masikio yetu yako wazi kumsikilizaWatu hawana muda na porojo za Dr. Slaa za siasa za kilaghai. Watu wako busy na shughuli zao za kujitafutia kipato halali...
Akili za mbayuwayu hujijui Wanachukua maoni au Rasmu ya katiba inapitishwa we cipi wewe umefungwa kwenye gunia niniHuku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.
Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.
Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
Ritz upo?![]()
Mbona unashabikia vitu vya kitoto sana! Nape anakulipa kwa huu utoto wako?Hii ndula ya Slaa huwa inanichekesha sana.
Wajerumani watakuwa walicheka sana...
Mbona unashabikia vitu vya kitoto sana! Nape anakulipa kwa huu utoto wako?
Hiyo ndula umeiangalia vizuri lakini. Hata ndula ya Juma Nature hapo haioni ndani...
leo hujapeleka unga hongkong?Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.
Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.
Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
At first i took you to be intelligent!
sasa tatizo lako nini si umwache au unawashwaHii ndula ya Slaa huwa inanichekesha sana.
Wajerumani watakuwa walicheka sana...
Hiyo ndula umeiangalia vizuri lakini. Hata ndula ya Juma Nature hapo haioni ndani...
Hiyo ndula umeiangalia vizuri lakini. Hata ndula ya Juma Nature hapo haioni ndani...
Imbecile!Badala ya kuangalia ndula ya kachala Slaa wewe unaanza kufikiria mambo yasiyokuhusu.
Kalaga bhao...
naona CHADEMA wamejipanga wanazunguka nchi nzima kumwaga sumu ya kuichukia CCM