Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

attachment.php
Ritz upo?
 
Watu hawana muda na porojo za Dr. Slaa za siasa za kilaghai. Watu wako busy na shughuli zao za kujitafutia kipato halali...
Mwanaume utapakatwa labda baba yako ndio hana shida wengine masikio yetu yako wazi kumsikiliza
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
Akili za mbayuwayu hujijui Wanachukua maoni au Rasmu ya katiba inapitishwa we cipi wewe umefungwa kwenye gunia nini
 
Dr Slaa M/Mungu akulinde sana , wewe ni tegemeo la watanzania .
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
leo hujapeleka unga hongkong?
 
Swali kwa Dr slaa hv ingelitokea 2010 akawa Rais angehamia Dodoma?au angebanana Dsm?
 
Hii sera ya kutohamia Dodoma Nadhani Ndio sera ambayo inapendwa na vyama vyote kwani Viongozi wote wa vyama vya siasa wanalikwepa suala la kuhamia Dodoma ni nadra sana kumkuta kiongozi akizungumzia kuhamia Dodoma na kulinusuru jiji na msongamano wa magari .
 
Hivi ni kweli kutoa elimu ju ya rasimu ya katiba kwa manufaa ya watanzania wote bila kujali rangi,dini,kabila na itikadi zao ni uhuni? Au kwa kufanya hivyo ni uharibifu wa rasilimali za chama?.ama kweli ukitaka kujua akili ya myu mpe nafasi ya kusema au kutenda.
 
naona CHADEMA wamejipanga wanazunguka nchi nzima kumwaga sumu ya kuichukia CCM

Huwezi kumchukia mtu anayekupenda!
Kama CCM inawafanyia mema watanzania wataichukiaje?!
Lakini kama inaiba kodi zao kwa kutotoa huduma bora, kwa kuwachangisha na bado huduma ni duni...!
Kwa hayo wananchi hawatakuwa wamechukia, watakuwa wamejitambua na kuwawajibisha viongozi wazembe!
Waache wananchi waamue!
 
Back
Top Bottom