Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

Huwezi kumchukia mtu anayekupenda!
Kama CCM inawafanyia mema watanzania wataichukiaje?!
Lakini kama inaiba kodi zao kwa kutotoa huduma bora, kwa kuwachangisha na bado huduma ni duni...!
Kwa hayo wananchi hawatakuwa wamechukia, watakuwa wamejitambua na kuwawajibisha viongozi wazembe!
Waache wananchi waamue!

Tatizo kubwa la CCM limeacha dhana ile ya chama ni wafanyakazi na wakulima sasa chama kimegeuka cha wafanyabiashara na matajiri, unataka uniambie Nape ni mkulima ama mfanyakazi? Kitendo cha chama kukumbatiwa na matajiri basi yamejimilikisha chama kwa marafiki na familia zao.
 
Back
Top Bottom