Updates:Mkutano wa Dr.Slaa uwanja wa Wajenzi Dodoma leo tar.19/8/2013

Waitara jukwaani.huu ni mktano wa 34 wa dr.slaa
 
Red brigade wakiwa imara.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376920165632.jpg
    89.4 KB · Views: 193
naona CHADEMA wamejipanga wanazunguka nchi nzima kumwaga sumu ya kuichukia CCM

Sumu yakuchukiwa CCM imesambaza yenye kwa kutoa ahadi ambazo hawajazitekeleza za maisha bora kwa kila Mtanzania.
Labda kama Watanzania ni vipofu......
 
tunajua ya kwamba wanaokatisha tamaa wengine; ni wale ambao mfumo uliopo unawanufaisha! na hofu ni pale dalili za anguko lao zinapoanza kuwa dhahiri na anayefuatia akaanza kuonekana!
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
 
Naona red brigade wapo imara.

Naomba kuuliza tu hao waliopamba hilo jukwaa hiyo rangi ya kijani imetoka wapi? kwani halipo katika bendera yetu ya taifa. Inabidi ofisi ya kanda iwajibike wasituletee mambo ya bendera za mafisadi
 
Naona red brigade wapo imara.

Chadema hatuna rangi ya kijani katika bendera yetu ivyo hatupendi kuliona hili rangi. Hata rangi ya bendera ya Taifa halina kijani. Inakuwaje ofisi ya kanda kutuandalia jukwaa kwa rangi ya ccmafisadi
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?

Kila chama kina mamlaka ya kukusanya maoni kwa wanachama wake, sema maCCM menzio hayana akili hizi na tatizo pale hakuna wataalamu wa mipango na uendeshaji wa chama, wapo MAKADA tuuu elimu zero, sifa kuu ameimba sanaaaaaaaaaaa nyimbo za komba kwa muda

Ngoja utaona feedback ya haya yanayofanywa na chadema sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…