Huwezi kumchukia mtu anayekupenda!
Kama CCM inawafanyia mema watanzania wataichukiaje?!
Lakini kama inaiba kodi zao kwa kutotoa huduma bora, kwa kuwachangisha na bado huduma ni duni...!
Kwa hayo wananchi hawatakuwa wamechukia, watakuwa wamejitambua na kuwawajibisha viongozi wazembe!
Waache wananchi waamue!