UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Hili tamasha kwa maandalizi na muitikio lina mpunga wa maana sana so alikua anatafuta gap la kupiga hela. Kuanzia kiingilio, wadhamini na mkono wa sirikali pioneers wa hiyo idea kina Made na Fid Q wanaenda kua matajiri, ama nasema uongo ndugu zangu?😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…