Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

Kolos mnajitekenya na kucheka wenyewe 🤣,given afisa digital wa makolo akaona isiwe tabu arudi tu baada jeans yake ya buku 7 kwa vunja bei kuchanika
 
Zile za Yanga zilizokua zinapepea kule Kilimanjaro Mlimani mnaj8fanya hamkuziona?
 
Hatuna habari yao, ila wana habari yetu ya siku yetu Asante...

#Since 1935
#jezizayangazakwanzakufikakileleni
Za kwanza kuzinduliwa mlimani au mnaona wivu ikabidi na nyie mtembelee upepo wa kibegi cha simba? Huu mwako lazima mtapike pilau la s100
 
Ila wanafanya mambo mazuri utalii unasambaa wanaofuatilia duniani huko wataona na mlima wetu hahaha
 
mbwembwe nyingine bwana
 
Kasema anaijua kwa sababu walikuwa mara ya mwisho na kuwafunga .Hapo hakuna Maajabu bora ingekuwa amesema anaijua kwa sabubu ni timu kubwa au yenye mafanikio ila ajabu dundukaz wanashangilia hilo kama kombe.
 
Halafu makolo wanakuambia awafuatilii habara za Yanga
 
Kasema anaijua kwa sababu walikuwa mara ya mwisho na kuwafunga .Hapo hakuna Maajabu bora ingekuwa amesema anaijua kwa sabubu ni timu kubwa au yenye mafanikio ila ajabu dundukaz wanashangilia hilo kama kombe.
Vuovyote utakavyoelewa ila ujumbe ndio huo.
 
Mmezindulia kule jezi zenu au kimbelembele chenu kuona mnyama anaenda kuzindua jezi kule mlimani mtembee na upepo wa kibegi?
Wenzenu wamefika kule hata ninyi hamjawaza. Mlipoona wamezipeperusha ndiyo nanyie mkabeba kibegi mkafanye hicho mnaita uzinduzi. Uzinduzi amnao hauna kiongozi wa timu hata mmoja.
 
Tusijichanganye tu Azam katoa uzi mkali sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…