Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

Kibegi kimetema
F1lJMELX0A4VVxr.jpg
 
I don't believe in coincidence!

Kama jezi imebuniwa na watu, basi watu hao walitaka ionekane kama hivyo ilivyotoka. Sio coincidence bwashee!
Kama unakataa kuwa sio coincidence ina maana unamaanisha ni plagiarism
 
Kibegi nikizuri kuliko jezi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.

Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.

Angalieni hata jersey za nje basi..!
Huu ufafanuzi 😀
 
Back
Top Bottom