Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

Zimepooza sana, hiyo ya blue utasema ni ya lambalamba. Ubunifu bado. Ukichukua ile ya Yanga ya kudariziwa na hizi za leo zote 🚮
Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.

Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.

Angalieni hata jersey za nje basi..!
 
Kote duniani jezi rangi za team zinajulikana. Binafsi napenda jezi iwe kama hivi, sio jezi ina makorokoro kibao kama kanga za ccm.
 
Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.

Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.

Angalieni hata jersey za nje basi..!
Sure mkuu... Yaani mpaka inaboa. Jezi haitaki makorokocho mengi ni vile uzwa zwa wa waswahili tazama hata vilabu vingi vya ulaya jezi huwa hazina makorokocho mengi.

Binafsi ningekereka ningekuta makorokocho mengi. Kama hiyo third kit haijanivutia sana
 
Jezi za kawaida sana
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

Jezi sio mbaya, ila pia haina maajabu. Haina uspesho wala utofauti wowote na jezi za misimu iliyopita. Hiyo ya blue, ni azam mtupu!
 
Jezi ya bluu imefanana na ya Azam by coincidence tu
 
MWENYE PICHA YA JEZI MPYA YA SIMBA IKIWA MOUNT KILIMANJARO ANITUMIE NAINUNUA KWA MILIONI MOJA
 
Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.

Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.

Angalieni hata jersey za nje basi..!

Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.

Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.

Angalieni hata jersey za nje basi..!
Sasa umeandika nini? Mac Alpho mimi ni Yanga naipenda kufa, ila nilikosoa walivyodarizi.
Hizi zenu nimesema za kawaida, Yes ni za kawaida creativity ni pamoja na upangaji wa rangi.
Hizi utasema zilishakuwepo miaka ya nyuma.
Wa Yanga anajua kucheza navyo vyote, zimeonekana kweli mpya. Hakuna anayependa makorokocho hayo ni yako.
 
IMG_8013.jpeg
 
Mpaka sasa jezi ya Azam ndiyo nzuri.

Ikifuatiwa na ile ya Uto ya mwaka jana ya ramani za balozi wa nyumba 10.
 
Watu wako madukani muda huu...kuanzia saa hizi maeneo yote ya mtoko ni Jezi ya Simba tu
 
Back
Top Bottom