President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
- Thread starter
- #41
🇶🇦 Explosions reported in Doha, Qatar!
Acha kuleta hisia za kike kwenye mambo muhimuWatu wanakufa kwasababu za Ujinga wa Trump na Netanyahu kutaka tu Dunia iyamini wao ndio wenye nguvu..
ISRAEL ndio zaidi wananchi wake wanateseka kijinga jinga tu. Dunia kubwa sana kwanini uvamie Ardhi ya watu na tena iyo Ardhi inawananchi tayali miaka kwa miaka.!!!
Kujiona unanguvu mwisho ndio aya. MABOOM ndio chai ya milele hakuna Amani,
Mbona update za mikwara TU ya Ayatollah Khomeini05 March 2026
🇮🇷The deputy commander of Khatam Al-Anbiya headquarters, Major General Amir Haidari:
We are determined to break the strength of the United States and make them despair and lose hope, and we will not stop in this war🇮🇷
Weka ww iyo Sababu ni ipi ?Acha kuleta hisia za kike kwenye mambo muhimu
Fuatilia sababu za hiyo vita
Iran piga haoo malofa roho zetu ziwe kwatu🔥.secretarybird uzi wenu huu
Kwani ngapi ngapiIran piga haoo malofa roho zetu ziwe kwatu🔥.
Moja Moja.Kwani ngapi ngapi
Kivipi wakati wamemuua kiongozi wenuMoja Moja.
Hawajamuua kiongozi wetu bali wamemfanya atangulie ahera/peponi kuwashughulikia mabikra 72 ambao nami nikifa nitawashughulikia vilevile.Kivipi wakati wamemuua kiongozi wenu
Sasa wewe si huamini hayo mamboHawajamuua kiongozi wetu bali wamemfanya atangulie ahera/peponi kuwashughulikia mabikra 72 ambao nami nikifa nitawashughulikia vilevile.
Wamempiga chura teke.
Mambo gani?Sasa wewe si huamini hayo mambo
Hayo ya ghaibuMambo gani?
Hahaha, noma kweli yaani.Hayo ya ghaibu