Elon kazingua. Alitakiwa aje na Tesla Model 2 ambayo ni cheap. Kasua sua miaka anasema ivo ivo.East or west bado naamini Elon musk ata kuja pindua meza.
Japo zile cyber truck watu Wana zilalamikia sana
Mzee hivi vitu sio poa, hapo penyewe Ali ahidi semi lakini hakuna kitu.Elon kazingua. Alitakiwa aje na Tesla Model 2 ambayo ni cheap. Kasua sua miaka anasema ivo ivo.
Tesla ya bei ndogo kabisa unakuta $30k kwenda juu bado makodi hapo.
Angeweka gari ya $15k to $20k hapo
Unaonekana muoga wa magari ya umeme. Sio mbaya, uwoga ni akili.Kwa maelezo haya tupambane na hybrid.
Mkuu pia nilitaka kupata ufahamu kuhusu PHEV na Hybrid. Nimetafuta mitandaoni nipate uelewa kwa lugha rahisi lakini sijatosheka.
Kama mdau wa magari na kwa kuzingatia mazingira yetu ya kibongo na huu umeme wetu mwingi usio na ubora unashauri gari aina gani haitasumbua kati ya PHEV na Hybrid.
Ana ahadi kama demu wa Kibongo:Mzee hivi vitu sio poa, hapo penyewe Ali ahidi semi lakini hakuna kitu.
Na Kuna wateja washa weka order kabisa 😂 😀
Yah Hiyo ni moja ya Sababu cost ya uzalishaji USA iko juu Sana,Haja mlinda mtu, shida ni kupata minimum cost katika uzalishaji.
At the same time Wana struggle kupata kitu sahihi.
NIme fatilia mahojiano ya tim cook, Ali kubali Hali bado ni ngumu.
Sio mbaya kama Tesla price $80,000 alafu Kodi $7,000Hahaha gusa ushuru wa Tesla Mill 20+
Acha uwoga we chuma kama izo hazitaki shida. Haugongani na mtu. Boda akizingua sema ndi jau.Yah Hiyo ni moja ya Sababu cost ya uzalishaji USA iko juu Sana,
Ila hizi Gari za mchina, body za Gari zao Sio laini kama balon, Hata ikigongana na bicycle body inapinda.
Hapa Chima ni mjerumani mjerumani na Tesla sema hizo prices Zake sasa
Itakuwa heri kama ni kweli, jaribu kuulizia nissan leaf hapo.Nilimsikia mwigulu akisema electric car wataondoa Kodi, SS sijajua kama anatania ama Kweli
Semi Tesla mbona kashatoa , Tena Pepsi America ndio wakwanza kununua.Ana ahadi kama demu wa Kibongo:
1. Semi kasema hadi 2025
2. Full Self Driving alisema 2018/19 hadi leo vibali haijapata.
3. Autonomous Taxi (robotaxi) sound hadi leo.
4..
Haa wapi. Nasemea used hapa 2018/2019 Model 3.Sio mbaya kama Tesla price $80,000 alafu Kodi $7,000
Shida ni hawa boda na bajajiAcha uwoga we chuma kama izo hazitaki shida. Haugongani na mtu. Boda akizingua sema ndi jau.
Hii nimeikubali sana licha ya upya wao sokoni.Ji Yue 07 (kutoka kwa Jidu Auto)
Hii kampuni Jidu Auto unaweza ukawa hauijui, ila ipo uko China. Ikiundwa 2021 ikiwa ni muungano wa kibiashara wa makampuni mawili Geely (hii kampuni ya magari) na Baidu (hii kampuninya technology wana search engine kubwa kama Google uko China na wana online market kubwa kama Alibaba).
Sorry nawachosha. Ila hizi joint venture mnagawana majukumu. Mfano, kwenye hizi gari Geely yeye anatengeneza gari (sijui tuseme hardware) hafu Baidu anatengeneza software (ADAS (Advanced Driving Assistant System) na Connectivity kama Bluetooth na WiFi etc)
Jidu Auto wana magari mawili hadi sasa. La kwanza mwaka jana Ji Yue 01 ambayo ni full EV SUV ila mwaka huu wametuletea Ji Yue 07 ambayo ni Premium Sedan.
View attachment 2974727
Kwa nje chuma ni ya moto. Ina muonekano mzuri, na ina cameras, radars na sensors za kutosha.
View attachment 2974728
Kwa ndani kuna screen ya inch 35 yenye 6K resolution na ina chip (SoC) ya Qualcomm Snapdragon 8295 na steering ya kishua ya Yoke aka Halfmoon.
Jiyue kwenye presentation yao pia wamesema wameanza kushirikiana na NVIDIA kutengeneza smartcars zenye FSD (Full Self Driving) capabilities.
Hii gari imepata tuzo mbili, IF Design Award na Red Dot Design Award.
Kodi ipo SEMA vipengele kadhaa wameondoa, coz huwezi agiza nchini Gari , Bure kabisaItakuwa heri kama ni kweli, jaribu kuulizia nissan leaf hapo.
Ukiingia tra calculator mpaka leo hawajaweka suala gari za umeme.
Mzee semi Tesla zili achiwa chache mno, pepsi mwenyewe Ali agiza 100 toka 2017, aka pewa 36.Semi Tesla mbona kashatoa , Tena Pepsi America ndio wakwanza kununua.
Self driving western countries bado hawaamini AI.
Sema mchina si unajua yy Anajali kuuza Tu 😂
Mkuu hii show unaipata kwenye channel gani?.Kwa sasa wanaongoza dunia kwa kutengeneza na mauzo.