Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona Ali fanya, shida ndo mambo mengi😂😀.Hivi hii idea iliendaga wapi.. 🤣🤣
Waweke na hizi nyingine.Yeah wameweka Tesla tu. Usiguse.
H
Hivi haya magari ya umeme unachaji popote hata nyumbani kwako au sehemu maalum?
Mchina hatari sana na bado China ni soko kubwa la magari kutoka nchi za Ulaya na Marekani.Mchina ni hatari sana
Katika game la Full Self Driving (FSD) Tesla ana kibarua kigumu sana kushindana na tech ya HuaweiNasikia Bwana Elon Musk yupo China, kaenda kwa issues mbili, moja kuendesha gari ya Xiaomi (SU7) na pili, kuongea na serikali ya China kuhusu kuruhusiwa FSD - Supervised (Full Self Driving Supervised).
Shukran mkuu, woga nakuwa nao kwa sababu ya mazingira yetu.Unaonekana muoga wa magari ya umeme. Sio mbaya, uwoga ni akili.
Basi wewe ishi na pure Hybrid. Mfano Aqua, Prius (isiwe Prius Prime), Honda Fit etc. Hizo ni zile zina Engine + Battery basi. Battery inachajiwa kwa regenerative braking system. Simple tu. Kama Dynamo ya Baiskeli. Hizi EV mode zinakuaga na range fupi, mfano unakuta Kilometa 5-8 tu.
Hizo PHEV ni Plug-in Hybrid. Izo zina Engine + Battery lakini Battery inachajiwa regenerative kama zingine Plus ukitaka unachomeka kwenye umeme. Hizi zinakuaga na battery kubwa na range inaweza kufika ata km 30.
Hapo nimeongelea magari yetu used Hybrid, mfano ukiwa Prius 2009 hadi 2014.
Okay, nitakuchekia specifically kwenye iyo gari.Shukran mkuu, woga nakuwa nao kwa sababu ya mazingira yetu.
Nilikuwa napitia gari za hybrid tofauti tofauti ingawa Mitsubishi Outlender imenikaa sana sasa nikakutana na Mitsubishi Outlender PHEV na Hybrid. Baada ya kuchungulia kwa Zakayo nikakuta kodi imeshuka imekuwa rafiki kidogo ukilinganisha na hapo awali ambapo ilikuwa ni 21+m kwa sasa inachezea 13-14+m. Kwa kweli natamani nijiweke kwenye hizo gari ndio maana natafuta taarifa za kutosha kabla ya kufanya maamuzi.
Nitashukuru sana mkuu.Okay, nitakuchekia specifically kwenye iyo gari.
Kwa upande wangu, naumia sana na "uwezo" wa kitechnolojia kwenye viwanda vyetu. Sisi tumekua end users tu.Waafrika tuna jifunza nini katika huu uzi ? Mfano tuchukulie nchi yetu Tanzania.
Ningependa kuona hili swali likijibiwa na watu humu.