Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Acha kukuza mambo wewe kwani MP wewe unawachukulia ni watu special sana kiasi kwamba hawezi kuuawa na raia? Hao ni watu kama watu wengine tu hawana chechote kile zaidi ya kukuzwa tu
 
Uandishi wa mizaha, vichekesho na pumba umekutoka ghafla!

Ulidhani wote hapa tutacheka cheka tu na wote hatuna akili za kuona huu ni upuuzi tu?

Grow up. Jitu zima akili za kitotooooo!
Nitengee NYABENGA lako tukuka ili ujue kama nime grow utakavyo au bado kama udhaniavyo Mpumbavu Mwandamizi Wewe.
 
GENTAMYCINE na akili zako unaishi Kawe?
 
GENTAMYCINE na akili zako unaishi Kawe?
Naishi Kawe, Mbezi Tangi Bovu jirani na Kona Baa, Masaki mita chache na Coco Beach, nimeshawahi pia Kuishi Ilala Shariff Shamba katika Flats za Breweries, Makongo Jeshini kule Juu alikokuwa akiishi Babu yangu wa Ukabila CDF Mstaafu Poti ( Mwetu wangu ) Gen. David Bugozi Musuguri nikiwa na Marehemu Dada yangu, Temeke mita chache na Hospitali ya Temeke na kuanzia Desemba nitakuwa naishi tena Mapinga baada ya Chuo cha Makomandoo cha JWTZ na kama Mambo yakienda vyema kwa Baraka ( Kudra ) zake Mwenyezi Mungu kuanzia mwaka 2024 nitakuwa naishi rasmi nchini Uganda.

Kwa ufafanuzi huu naamini hutokuwa tena na Maswali mengine tena Kwangu.

Siku Njema Mkuu.
 
Tank bovu pale unasali Sloam Ministry kwa yule mtume tapeli?
 
Peter musuguri nimemis sana ni class mate wangu mkuu. Mpe hai sana ukimpata hewani
 
........
Amekufa kishujaaa!!!we jamaa una utani sana ushujaa uko wapi hapo wa kumpiga raia na amekuomba apite[emoji706][emoji41]....Grow up
 
Si wamesema naye alikuwa kavurugwa anawahi kumtia visu mwizi wa pikipiki yake ambaye alikuwa ameonekana na pikipiki yake ambayo ilikuwa iliibiwa siku za nyuma ?
Ndio huyo mshamba naye akamletea giza giza humo njiani ,ndio akamfix kwa kisu faster
Haina kuchelewesha
 
Tank bovu pale unasali Sloam Ministry kwa yule mtume tapeli?
Kwa Mbezi Beach Tangi Bovu hata Jirani yangu na mpenda Mbunye Mwenzangu Bujibuji Simba Nyamaume anapajua na hata kuwajua baadhi ya Ndugu zangu kuanzia Kanali Mstaafu Mzee Mugwe na Familia yote ya Marehemu Neurologist wa Jeshini ( Lugalo General Millitary Hospital ) Brigedia Profesa Yardon Kohi.

Haya njoo na lingine tena....!!
 
Wahuni wote wa Dar es salaam mjiandae kisawasawa.

Ewe mzazi kama unajua mwanao ni muhuni,
Mkanye na mwambie aache mara moja.

Kitakachomkuta hatokuja kusahau maisha yake yote.
Acheni mkwala msitake vita na raia
Hivi huko hamna shuguli ya kufanya

Ova
 
Badala ya kwenda kuwasaidia vita ya Ukrain au Wapalestina wao wanaanzisha vita na raia wema wasio na silaha. Siku za mbabe ni 39.5 na za mwizi ni 40
Vita waijulie wapi

Hao,tatizo hawana shuguli za kufanya

Ugomvi wao mkubwa ni kuhusu madem,pombe nk

Ova
 
Temeke mita chache na Hospitali ya Temeke na kuanzia Desemba nitakuwa naishi tena Mapinga baada ya Chuo cha Makomandoo cha JWTZ
Please!

Chuo cha JWTZ cha Makomandoo wanachukua mijitu mizee kama wewe na mijingi hivyo ?

Serious events za watu kupigwa na wanajeshi we unadhani ndio nafasi ya kuleta sensational and stupid narratives. Get a freaking grip.
 
Ila Genta ukiwa serious kidogo tu utafika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…