Ugomvi mkubwa wa hawa jamaa zetu ni madem na wakishalewa,nishasema sana humuInasikitsha amefariki eneo alikuwa maarufu sana kwa kunywa inadaiwa..
Nimesoma mahala alikuwa kweli mpenda pombe na mademu walitembelea mifuko take kwa sana akishalewa kumuibia.
Ahsnte kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Unajifanya na ww ni kitengo!!?
kumbe ni mbibi aliyepo kwenye ndoa za mitaala kitambo
Sasa mtu uko jeshini miaka 20 hata vita huijui mnapambana na raia tu mtaaniKawaida yao hao wala siyo bahati mbaya.
Wanajeshi wenzake wanafia vitani huko Russia Ukraine Gaza na Uzayuni wakipigania mambo ya msingi yeye anaenda kufia Kawe tena bar kwa kuchomwa kisu na dereva wa Bajaj,hii ni aibu kwa taifa angekuwa amebaki hai huyu ilibidi avuliwe vyeo vyote.
Nilikuwepo eneo la tukio ,toka siku hiyo nimechukia silaha ,nikiona mtu ana silaha hasa bunduki huwa namshauri awe ana iacha home, ule usiku ulikua mbaya sana, mshikaji alikufa kavaa tshirt imeandikwa WHOW IS REAL ,WHOW IS FAKE nyekundu, halafu akauwaa na best yake 😭Unakumbuka tukio la yule conrad ambrosia,alivyowatandika risasi wale
Walinzi ambrosia
Ilimgharimu sana aise....
Haya mahasira,ambayo hayana mbele wala nyuma hayafai
Mambo ya kijinga tu yanakugharimu uhai wako,sababu zenyewe hazina kichwa wala miguu
Huyo afande na jamaa wa bajaji wote
Wapuz tu
Ova
Ni heri wapambane na tanesco kuliko kukaa bila kupambana.Sasa mtu uko jeshini miaka 20 hata vita huijui mnapambana na raia tu mtaani
Ova
Na huyo dogo siajabu,hajajuwa kama huyo ni mwanajeshiSasa naye marehemu kwanini ampige dogo makofi sasa ndo hayo madhara yake
Huyu jamaa ni MbeyA sana...Una mwandiko mbaya sana haivutii kusoma, halafu ndio zao la SAUT
Si wamesema naye alikuwa kavurugwa anawahi kumtia visu mwizi wa pikipiki yake ambaye alikuwa ameonekana na pikipiki yake ambayo ilikuwa iliibiwa siku za nyuma ?Na huyo dogo siajabu,hajajuwa kama huyo ni mwanajeshi
Ova
Dada yangu kipenzi una mambo ya kuyafanyia kazi [emoji1] naonaAhsante kwa taarifa, tutazifanyia kazi.
Pole kwa wafiwa na majeruhi wote.
Unataka kusema kama angejua asingeua...?Na huyo dogo siajabu,hajajuwa kama huyo ni mwanajeshi
Ova
Kwa sisi tuliyopagana vita vingi na kukutana na visanga vingiNilikuwepo eneo la tukio ,toka siku hiyo nimechukia silaha ,nikiona mtu ana silaha hasa bunduki huwa namshauri awe ana iacha home, ule usiku ulikua mbaya sana, mshikaji alikufa kavaa tshirt imeandikwa WHOW IS REAL ,WHOW IS FAKE nyekundu, halafu akauwaa na best yake [emoji24]
huyo dogo Conrad yupo wapi sasa hivi, naikumbuka hio issue.Nilikuwepo eneo la tukio ,toka siku hiyo nimechukia silaha ,nikiona mtu ana silaha hasa bunduki huwa namshauri awe ana iacha home, ule usiku ulikua mbaya sana, mshikaji alikufa kavaa tshirt imeandikwa WHOW IS REAL ,WHOW IS FAKE nyekundu, halafu akauwaa na best yake 😭
Au hamza msomaliKato ni Shujaa ni kama alivyo shujaa Abdallah Mwamindi
Hapo inategemea sasa,nnachojuwaUnataka kusema kama angejua asingeua...?
Sahihi brother yaani watu wamevurugwa kweli kweliAcheni ubabe enyi wenye madaraka, kuna watu hawana cha kupoteza.