Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Kwakweli ni suala la kushangaza maana taarifa zinasema wamemkamata jana usiku sasa raia wengine kipigo cha nn
 
Kwa sisi tuliyopagana vita vingi na kukutana na visanga vingi
Tushaamua kunyoosha mikono juu
Unajuwa kukaa kimya ni silaha kubwa
Sana,au kusema msamahani
Maana kitu kidogo tu kinaweza kukutoa uhai wako

Ova
Kabisa kabisa ,diplomasia huwa muhimu sana, si kwamba tunaziogopa ,ila hazina msamalie mtume😂😂
 
Ukishakuwa mlevi huna maana kabisa.Kumpa cheo mlevi ni kupoteza rasilimali za taifa na kujiandalia kushindwa na majeshi dhaifu.
 
Wanajeshi wanapenda kutoa kipondo kwa raia kufikisha ujumbe
Ukikaa karibu na kambi za jeshi shida sana
Kawe washachezea sana,ukienda kunduchi kule napo kunatokeaga kichapo sana

Ova
Sema ukiwa na broo mjeda hauonewi kizembezembe. Kuna broo wa mshkaji wangu alikua mjeda akatuambia mitaa ya sinza na mwenge atakaetuzingua tumpelekee kesi siku moja kuna mabaunsa walituzingua pale meeda club(sasa hivi inaitwa kitambaa cheupe) tukamsanua broo akatimba unaambiwa aliwatembezea kichapo heavy, kuna siku nyingine jamaa alinipola simu mitaa ya sinza afrika sana pale vibaka wenzake wakamwambia oya unamjua broo ake uyo? Mrudishie tu dogo simu yake, jamaa akanirudishia simu yangu kweli.. Miaka iyo sinza na mwenge yote nazulula muda wowote hakuna muhuni anaenigusa.
 
Jamaa walikuwa wanagombania nn hao
 
Kato nadhani alikua hajaja Daslaam... angemnyoosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…