Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Huu ni uvunjaji wa sheria, hii 'collective punishment' sio sawa kabisa.
 
We jamaa kwa info tu,uko vyedi..unafaa sana kwenye idara yetu..uwe undercover..! Tunapenda sana watu wambeambea kama wewe..
Una mwandiko mbaya sana haivutii kusoma, halafu ndio zao la SAUT
@GENTAMYCINE was just chilling, then you literally drag him by his collar to this violence, kwanini hampendi tranquility nyinyi watu?
 
Huyo dogo Kato kuna baadhi ya askali polisi wanampa big up sababu ya hiyo show sababu wanafaham tabia za hao wajeda.

Mara nyingi matukio kama haya ilipaswa hata wao wajeda wapeane elimu kuwa wanaishi wa wananchi so mambo ya ubabe waonbe waende Ukraine au Palestine huko!.
 
Wanajeshi waache ubabe. Kuna uzi hapa Jf uliwaonya kuacha ubabe, vinginevyo wananchi wakikasirika hawana kwa kukimbilia.
GYNTAMYCINE umeandika vizuri, lakini badili hiyo avatar. Huyo ni kichaa, kapoteza imani kwa watu. Muuwaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…